bhachu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 8,735
- 10,360
sasa mkuu hapa tukuelewe vipi maada yako inasema gazeti gani usilolipenda, mwenzako ametaja/kuandika kinyume na mawazo yako unampinga!!!!!Hapa najua umeongea kinafki lkn moyoni unajua hilo ni gazeti pendwa maana halipindishi mambo
Hapa umeuliza au umejieleza?sasa mkuu hapa tukuelewe vipi maada yako inasema gazeti gani usilolipenda, mwenzako ametaja/kuandika kinyume na mawazo yako unampinga!!!!!
kwa maana hiyo maada yako imeegemea upande fulani na unataka wengine waamini unachoamini wewe!!!!!
vidole vya nyuma vinakuhusuTanzania Daima na Mwana halisi...