Wakuu.
Sijasoma magazeti ya nchini mwetu siku nyingi. sababu kuu ni mbili.
Kwanza utandawazi. taarifa zimekuwa nyingi mno kwenye mtandao wa internet. zinawahi kabla ya magazeti yenyewe.
Pili hisia kuwa hakuna uhuru wa habari. hisia hizi zimenifanya nihisi magazeti yetu hayana tena uwezo wa kuandika habari huru kwa uhuru.
Zamani nilikuwa nikisoma sana mwananchi, lakini kadiri siku zilivyokuwa zinaenda nikawa nahisi nao wamekuwa compromised. uandishi wao na namna wanavyo deal na waandishi wao katika kutatua migogoro yao ya ndani.
Je kwa sasa ni gazeti gani huru? nataka nianze tena kusoma magazeti.