Gazeti gani hata upewe bure huwezi kulisoma?

Mamujay

Senior Member
Dec 24, 2022
150
342
Mimi gazeti la wamachinga yaani siliewi kabisa yani naonaga tu mapicha picha siwaelewi angalia hili toleo la jana 19/8/2023 walivyolipoti msimamo wa TEC

Screenshot_20230819-230156.png
 
Yaani tumerudi kwenye utawala ule wa GIZA wa Awamu ya 5
1.Dhibiti vyombo vyote vya habari
2.Anzisha magazeti UCHWARA ya kusifia kila kitu toka kwa watawala
3.Kamata na tishia wote wanaoihoji na kuisumbua Serikali
4.Ingilia Mihimili mingine ya DOLA
...Mama umepatwa na NINI?
 
Uhuru na Mzalendo(hili sijui kama bado lipo)
Nakumbuka wakati nasoma chuo kikuu pale Mlimani miaka hiyo, haya magazeti ndiyo yalikuwa hayanunuliki kabisa. Hivi sijui siku hizi kama bado yapo. Maana yatakuwa yanazalisha hasara tu.
 
Back
Top Bottom