little hulk
JF-Expert Member
- Jun 20, 2014
- 1,610
- 556
Hiv kuna chakula ambacho kinaweza saidia IQ ya mtu kukua...?Bwana huyu jamaa sijuii anaongea vitu gani maana hela zimewekwa fixed alafu anasema zinaongeza mzunguko jaman jaman muachen rais bhana ajakosea hata kidogo hapo kati ya huyo gavana na raisi gavana ndio anafanya pesa isitufikie huku
I wish ungekipata