Gavana Ndulu(BoT): Kufungua akaunti maalum si kosa, fedha kuliwa ni vigumu

Bwana ndulu Fedha za Mradi zikiwekwa Fixed Account mzunguko wa fedha unahusikia vip maana hapo mimi navyojua hela zikiwa fixed hazitoki baada ya muda kazaa sasa huo muda tutazipata vip hizo fedha zituzungukie?
Yeye amefikiria dhana pana ya uchumi. Fixed account haimanishi kuwa zimewekwa katika shimo fulani bali zimewekwa kwa masharti fulani yaani kutolewa katika muda maalum. Hivyo kwa kufanya hivyo zinaweza kuingia kwenye mzunguko kwa kukopesha wengine wenye mahitaji ya fedha kwa wakati husika.
 
Bwana ndulu Fedha za Mradi zikiwekwa Fixed Account mzunguko wa fedha unahusikia vip maana hapo mimi navyojua hela zikiwa fixed hazitoki baada ya muda kazaa sasa huo muda tutazipata vip hizo fedha zituzungukie?

Mkuu, una uelewa kidogo wa masuala ya uchumi au ni mburura kabisa unayetakiwa kueleweshwa kwanza basic principles za uchumi?
 
Bado mi naamini mh Rais yuko sahihi...watu wachache walituchezea sana akili! hela imeletwa kwa ajili miradi mbalimbali ndani ya shirika we unaidhinisha iende fixed acc ili riba itakayopatikana uweke mfukoni.....asante sana mh Rais shikilia hapohapo ili na wao waishi kama "mashetani"!!!
Unawekaje mfukoni wakati transactions zote ziko wazi? Kwa nini usiweke mfukoni kabla hata ya kuzipeleka bank kama unaona zinawekeka kirahisi?

Kuweka hela fixed deposit account ni management decisions, watu wamesomea corporate governance waacheni wafanye maamuzi ni wa kemia fanyeni Titrations
 
Bwana huyu jamaa sijuii anaongea vitu gani maana hela zimewekwa fixed alafu anasema zinaongeza mzunguko jaman jaman muachen rais bhana ajakosea hata kidogo hapo kati ya huyo gavana na raisi gavana ndio anafanya pesa isitufikie huku
Jamani mm sio mchumi lkn sio kilaza kiasi hiki km fedha ikiwekwa kwenye fixed acc haitumiki je hiyo faida inayopatikana inatagwa?kwa hesabu za haraka ni kwamba fixed acc wewe mteja ndie huigusi kwa muda maalumu lkn bank wanaitumia kibiashara muda wako ukifika utakuwa faida yako wakati huo bank nayo imepata faida yao!
 
kama jambo hili ni kweli Comredi Ndulu kazungumza basi hata ndipo kwenye ugonjwa unaotafuna Mzunguko wa Fedha.

Hapa nadhani kuna haja ya Mtukufu Rais kukaana hawa watu wa uchumi wakashauriana na kupata suluisho la kudorora kwa uchumi.

Maana ukimsikiliza huyu ndg Gavana utagundua anazo hoja za msingi tena kitaaluma.
 
Aisee kuna watu humu they never attended even a single business class
hiyo haihitaji kwenda darasani kujua,ukijiuliza hiyo faida unayokuja kulipwa inatokana na nini kama fedha uliyoweka inafungiwa kwenye kabati tu?
 
Kwa mara nyingine tena Gavana wa benki kuu ya Tanzania Prof. Beno Ndulu amegongana tena angani na rais Magufuli.

Wakati rais Magufuli akiwa amepiga marufuku Mashirika ya Umma kuwa na akaunti maalum kwenye mabenki ya biashara, Gavana huyo wa BoT amesema hakuna kosa lolote kuwa na akaunti hizo zijulikanazo kama "fixed deposit" huku akisisitiza kuwa ni vigumu faida itokanayo na fedha hizo kuingia mifukoni mwa wachache.

Gavana huyo wa BoT ni miongoni mwa wajumbe wa iliyokuwa bodi ya wakurugenzi wa TRA ambao walifungua akaunti maalum kwa ajili ya fedha za miradi ya TRA kwenye mabenki ya biashara zaidi ya Tshs. Bilioni 8. 5 ambapo kitendo hicho kilimkasirisha rais Magufuli na kuamua kuivunja bodi hiyo.

Kitendo cha rais Magufuli kuzuia mashirika ya umma kuwa na akaunti maalum kwenye mabenki ya biashara kimetajwa kuwa na madhara makubwa ambapo ndicho hasa kilichoathiri mzunguko wa fedha na kuporomoka kwa uchumi.
Huu ni upotoshaji wa wazi kwamba hakuna madhara....
1480141028286.jpg


Kwanza sio majukumu ya TRA kuinvest, jukumu lao ni kukusanya ili zikatumike....

Pili: Ni ujinga pesa ambazo zingetumika kununua madawa, kulipa mikopo ya wanafunzi, kulipa madeni kuziweka FDR matokeo yake Taifa linapata hasara ya mabilioni kwa kuchelewesha malipo mbalimbali (Madeni ya barabara pekee kwa mujibu wa ripoti ya CAG (tembelea website yske) ni zaidi ya bilioni 5.....kuziweka 20bn kwa maximum interest ya 5%p.a ni 1bn....hizi ni akili au ni matope?
 
Siyo mbobezi wa mambo ya bank. Ni mbobezi wa mambo ya uchumi. Hivi nyie vilaza wa ukawa mbona hamuelewi mambo? Kuna tofauti kati ya bachelor ya economics na bachelor ya finance and banking. Sasa ndulu amesoma economics tu na kwenye economics wanasima public finance siyo corpirate finance ambayo ndo ngumu sana kuliko public finance
Ndugu yangu ,sidhani kama unajua vizuri unachokizungumza, finance imezaliwa kutoka economics, economics inacoverage kubwa na unasoma vitu vingi, like public finance, international finance, financial institutio ns etc inategemea tu chuo ulichosoma.By the way Corporate finance wala sio ngumu.ili uwe gavana wa bank lazima uwe mtaalam wa monetary economics plus hivyo vingine.
 
Back
Top Bottom