Gavana Ndulu(BoT): Kufungua akaunti maalum si kosa, fedha kuliwa ni vigumu

Siyo mbobezi wa mambo ya bank. Ni mbobezi wa mambo ya uchumi. Hivi nyie vilaza wa ukawa mbona hamuelewi mambo? Kuna tofauti kati ya bachelor ya economics na bachelor ya finance and banking. Sasa ndulu amesoma economics tu na kwenye economics wanasima public finance siyo corpirate finance ambayo ndo ngumu sana kuliko public finance

Sasa hapa umeongea nini.Pitia tena ulichoandika halafu uone kama kina msaada kwa jamii.
 
Bavicha kwa uongo hawajambo


Mkuu watu wanajadili namna uchumi wa nchi unavyodorora na jinsi mkuu wa nchi anavyopingana na mshauri wake mkuu kuhusu uchumi wa nchi. Gavana wa benki kuu ya nchi.

Ajabu wewe unaleta habari ya Baraza la Vijana la Chadema (BAVICHA) Niungane na Bi FaizaFoxy kukuuliza shuleni siku hizi mnaenda kusomea ujinga?
 
nampenda sana Nduru, hapa JPM kachemka, alifanya maamuzi ya kuwafurahisha maskini , wakati hayo maamuzi hayata wapa ugali mezani.
 
Du ndg yangu, yaani wewe hujui kuwa zinapowekwa FD kwenye benki hazifungiwi kwenye makabati Bali zinatumika kuwakopesha wanananchi na viwanda wanaokuja kukopa.
Aisee kuna watu humu they never attended even a single business class
 
Ndulu sio mtu wa mchezomchezo, ndio maana haoni tatizo kuitwa Yuda.
Lakini kwa akili na mawazo ya namba moja, Yuda ajiandae kutumbuliwa. Maana hii ni mara ya pili kujigonga angani na mkubwa kabisa wa hapa
 
Siyo mbobezi wa mambo ya bank. Ni mbobezi wa mambo ya uchumi. Hivi nyie vilaza wa ukawa mbona hamuelewi mambo? Kuna tofauti kati ya bachelor ya economics na bachelor ya finance and banking. Sasa ndulu amesoma economics tu na kwenye economics wanasima public finance siyo corpirate finance ambayo ndo ngumu sana kuliko public finance
acha uvivu hivyo ni visubtopic kwenye kozi, je sie tuliosoma mambo magumu tutasemaje???
 
Bwana huyu jamaa sijuii anaongea vitu gani maana hela zimewekwa fixed alafu anasema zinaongeza mzunguko jaman jaman muachen rais bhana ajakosea hata kidogo hapo kati ya huyo gavana na raisi gavana ndio anafanya pesa isitufikie huku
Duh hakika tuna Safari ndefu km kuna watu wenye akili mbovu km huyu, nyie ndio hushangilia kila kitu na kupiga makofi hata kwa ambacho hamjakisikia vizuri au kukielewa. Huyu anajua hela ikiwekwa fixed account inakaa tu isubiri kutolewa wala haizungushi ili kupata hizo interest
 
Nani asiejua kua Fedha zinazo wekwa fixed account zinawafaidisha vigogo.. Bodi ya mikopo walikua ndio dili zao hizi
 
Bwana ndulu Fedha za Mradi zikiwekwa Fixed Account mzunguko wa fedha unahusikia vip maana hapo mimi navyojua hela zikiwa fixed hazitoki baada ya muda kazaa sasa huo muda tutazipata vip hizo fedha zituzungukie?

Huwa ukiweka hizo hela kwenye FD kwenye akaunti kunakuwa na namba tu hizo fedha ndizo hutumika kuwapa watu mikopo(ndio mana watu husema zinarudi kwenye mzunguko)
 


Zingekuwa hazitoki Kama unavyodhani kuwa ndio maana yake pia ungejiuliza hiyo Interest unayolipwa baada ya Muda huwa inatoka wapi?

Wee utakuwa Classmate wa JPM kwny darasa la Uchumi maana mnafanana
Hiyo sentensi ya mwisho najiuliza vipi ni wewe umeandika au???
 
Back
Top Bottom