Gavana Luoga akitoa takwimu za mchango wa kanda ya ziwa kwenye uchumi wa Tanzania

Huwa siongei hadithi au hisia weka hapa source wewe kenge wa usukumani,mnanuka umaskini afu mnajisifia mnaakili timamu kweli nyie?
We pimbi wa makete hapo makete kuna nini zaidi ya UKIMWI na ufakara uliotopea!
Tumbavu, mtu umepauka miguu imeliwa funza afu unakuja hapa unabana pua kuita watu maskini!. Nyambafu!!
 
Yaani mikoa yenye 16% ya population inachangia 26% tu ya GDP?

Hizi ni Takwimu za kuonesha umaskini uliotopea kwa watu wa huko badala ya kujisifia.

Hata ukiangalia Takwimu za mkoa mmja mmja kutoka NBS ,lake zone ni vichekesho yaani mikoa kibao inazidiwa na Mbeya na Njombe
Ukiwa na darasa lako la wanafunzi 10 halafu wote wakapata daraja la tatu kitakwimu utamzidi yule mwenye darasa la watu 100 halafu 20 wamepata daraja la kwanza, wengine la pili, tatu na 10 wana sifuri.

Idadi ya watu pia inarudisha nyuma takwimu.

Usikariri tu kanda ya ziwa ni masikini bila kuangalia idadi ya watu. Kukiwa na watu wengi hata masikini wanakuwa wengi vile vile.
 
We pimbi wa makete hapo makete kuna nini zaidi ya UKIMWI na ufakara uliotopea!
Tumbavu, mtu umepauka miguu imeliwa funza afu unakuja hapa unabana pua kuita watu maskini!. Nyambafu!!
Mfano kila rasilimali za eneo flani zingekua zinaenda ama zinabaki eneo husika kanda ya ziwa si ingekua New York?

Hela zote za madini zibaki Mwanza, Shinyanga ama Mara. Pesa yote ya pamba ibakie Mwanza ama Shinyanga.

Mapato yote ya utalii yabaki Mara, Mapato yote ya kahawa yabaki Kagera, Mapato yote ya mifugo yabaki Shinyanga, mapato yote ya samaki yabaki Mwanza, Mara, kagera na Geita. Hivyo vyote vikifanyika kanda ya ziwa inakua New York.
 
Kama wanawapiga kura wengi imekuwaje miaka yote wagombea hawatoki kwao?
Unataka kutisha watu kwa kigezo cha ukanda yaani kosa afanye mmoja uwahisishe kanda nzima?
Alifanya madudu na atapondwa kwa madudu yake.
Huo ndo ukweli kabisa Kanda ya ziwa Ina wapiga Kura wengi SANA kuliko Kanda ZOTE

Sent from my Moto E (4) using JamiiForums mobile app
 
Tuwe makini na kauli zetu japo ukweli unabaki Kanda ya Ziwa ndio nguzo ya Kisiasa, Kijamii na Kiuchumi nchini japo kimaendeleo hailingani na Kanda ya Kaskazini. Nachelea kueleza kwa vipi nguvu ya awali ya upinzani ilikuwa Kanda ya Ziwa
Acha uzwazwa.....uliza wazee waliopigania uhuru wa hii nchi
 
Tuwe makini na kauli zetu japo ukweli unabaki Kanda ya Ziwa ndio nguzo ya Kisiasa, Kijamii na Kiuchumi nchini japo kimaendeleo hailingani na Kanda ya Kaskazini. Nachelea kueleza kwa vipi nguvu ya awali ya upinzani ilikuwa Kanda ya Ziwa
Huyu mpuuzi anajaribu kumtisha Mama Samia ili asitumbuliwe yeye na wateule wenzake waliopata vyeo kwa upendeleo wa kikanda ulioanzishwa na Magufuli. Moja ya uchafu aliouacha ni huu mgawanyo wa kikanda.

Miaka nenda miaka rudi mbona Kanda ya Mashariki ikiongozwa na Dar es salaam hawajawahi kusema huu upuuzi?
 
Mfano kila rasilimali za eneo flani zingekua zinaenda ama zinabaki eneo husika kanda ya ziwa si ingekua New York?

Hela zote za madini zibaki Mwanza, Shinyanga ama Mara. Pesa yote ya pamba ibakie Mwanza ama Shinyanga.

Mapato yote ya utalii yabaki Mara, Mapato yote ya kahawa yabaki Kagera, Mapato yote ya mifugo yabaki Shinyanga, mapato yote ya samaki yabaki Mwanza, Mara, kagera na Geita. Hivyo vyote vikifanyika kanda ya ziwa inakua New York.
mkuu, hata hivyo, chanzo cha umasikini kanda ya ziwa unaosemwa na waichukiayo kanda ya hiyo, siyo uvivu na wala uhaba wa maliasili, hapana, Ni serikali zilizowahi kupita ziliipa kisogo kanda ya ziwa kwa kuinyima miundombinu mhimu hasa barabara na kuiwekea kiwango cha juu sana cha ufauru mashuleni, huku serikali ikiogopa watu wake eti hilo kabila likielimika na kuwa na wasomi wengi sana, wataitawala hii nchi, Angalia leo Mavyuoni, uone ni watu gani walioko wengi mavyuoni, piga picha ya Mbele kwa kanda hiyo

Vitu vingi mhimu kwa kanda ya ziwa hasa vya ujenzi zilikuwa zikiuzwa kwa bei ya juu sana huku mazao ya wakulima yakiuzwa kwa bei ya cheee na Dhahabu zao kuishia kuwa za watu wageni na sio wenyeji na hata wakivuna dhahabu iliwalazimu kwenda kuiuza nchi jirani ama Daresalaam huku kanda ya ziwa ikipoteza mapato yake

Ikienda hivi hivi kama ambavyo miradi mingi ya Kiserikali ya ujenzi wa miundombinu ya Barabara, Ni kipindi cha miaka kumi tu, inatosha kabisa kuifanya kanda ya ziwa kuwa ndio kanda yenye uchumi bora na huwenda ikaendana tu na kanda ya Pwani
 
Mfano kila rasilimali za eneo flani zingekua zinaenda ama zinabaki eneo husika kanda ya ziwa si ingekua New York?

Hela zote za madini zibaki Mwanza, Shinyanga ama Mara. Pesa yote ya pamba ibakie Mwanza ama Shinyanga.

Mapato yote ya utalii yabaki Mara, Mapato yote ya kahawa yabaki Kagera, Mapato yote ya mifugo yabaki Shinyanga, mapato yote ya samaki yabaki Mwanza, Mara, kagera na Geita. Hivyo vyote vikifanyika kanda ya ziwa inakua New York.
Mkuu, hakika hivyo ndivyo ingekuwa.
 
Magufuli ndio aliyeleta hizi siasa za hovyo za kikanda, angalia hata teuzi zake nyingi ziliegemea zaidi kanda hiyo na hata akaridhia watu wa Dar wabomolewe nyumba zao huku akiwakingia kifua wa Mwanza.!!

Kwa kweli huyu alikuwa ni kiongozi wa hovyo sana kuwahi kutokea katika historia ya nchi hii na tuombe awe wa kwanza na wa mwisho.
Maneno unayotumia hayana kipimo. Unaposema teuzi nyingi ziliegemea kanda ya ziwa unaweza ukasema nyingi maana yake ni nini? Wateule wa rais ni mawaziri na manaibu wao, makatibu wakuu na manaibu wao, wakurugenzi, makamishna.... Hebu endelea kwa mtindo huo, halafu useme kama kweli ni kanda ya ziwa.

Miaka kadhaa Wachaga walituhumiwa kujazana TRA na CRDB na hakika hadi mameneja wa matawi walihesabiwa kwa ukabila wao. Tulipouliza tuliambiwa eti wamesoma sana. Sasa hivi elimu hiyo imetoweka? Kusoma ili kuajiliwa TRA? Yaani certificate za chuo cha kodi, siyo hata PhD? Sasa kuna kigezo gani cha kulalama?
 
Hawana hata aibu ku expose umaskini wao,wakajua hizo Takwimu zinawabeba kumbe ni maskini wa kutupwa wako namba 4 huko
Mkuu population ya mkoa Kama njombe ni ndogo Sana sidhani Kama wanafika hata one million. Ndo maana mkihesabiwa per capita njombe inaonekana kuwa juu kulinganisha na mikoa ya Kanda ya ziwa Kama mwanza na kagera iliyonyuma ya dar kwa population na density. Lakini kihualisia huwezi linganisha maisha ya watu wanaoishi bwiru,capripoint,busweru au kisesa mwanza au hata vijiji vya wahaya huko muleba,misenyi au kamachumu na mkoa wenu wa njombe
Screenshot_20200423-203147.jpg
Screenshot_20200423-203128.jpg
 
Mkuu Tanzania bado ni masikini tu in general pia unaposema kanda ya ziwa ni masikini lakini kwangu mimi sioni tofauti kinachofanya hata Dar es Saam ionekane wananchi wake wanakipato kikubwa ni wingi wa uwekezaji kama vile bandari na kariakoo lakini kiuhalisia kwa mwananchi mmoja mmoja hali ni tofauti hata njombe ukiangalia ni idadi ndogo ya watu ukilinganish na Kagera so usije ukajidanganya kuwa kanda ya ziwa kwa sababu ya population ni kubwa uka underestimate uwezo wake kiuchumi kwa mfano angalia mji kama wa Kahma wawekezaji wakubwa pale ni wazawa wa kanda hii ya ziwa. Unaweza kuniambia ni wilaya gani tanzania tofauti na wilaya zilizo kwenye majiji unaweza kuilinganisha na kahama ambayo leo hii unawaita masikini na wewe ukijivika utajiri? Watu wa kanda hii sasahivi usiwachukulie poa wako wanafanya vizuri kwenye maeneo mengi ndo maana ndugu zetu wameshaoana kuwa kanda ya ziwa inaenda nao sambamba kwenye kila idara tayari kwao hawawezi kuipenda kanda ya ziwa ila ukweli mnaujua kabisa .
Huo mji wa kahama naona umeshakuwa wa pili Kanda ya ziwa kwa mzunguko wa pesa baada ya mwanza na Kuna sehemu za jiji la mwanza zinazidiwa na kahama.

Haji miji mikongwe na mikubwa ya zamani ya Kanda ya ziwa Kama bukoba na musoma bado imepitwa na mzunguko wa pesa wa kahama japo bado kimajengo,mandhari,starehe,umuhimu na mpangilio wa mji bado kahama haijafikia
 
Kama wanawapiga kura wengi imekuwaje miaka yote wagombea hawatoki kwao?
Unataka kutisha watu kwa kigezo cha ukanda yaani kosa afanye mmoja uwahisishe kanda nzima?
Alifanya madudu na atapondwa kwa madudu yake.
Wewe ni mmoja kati ya Mburula wengi
 
Ukiwa na darasa lako la wanafunzi 10 halafu wote wakapata daraja la tatu kitakwimu utamzidi yule mwenye darasa la watu 100 halafu 20 wamepata daraja la kwanza, wengine la pili, tatu na 10 wana sifuri.

Idadi ya watu pia inarudisha nyuma takwimu.

Usikariri tu kanda ya ziwa ni masikini bila kuangalia idadi ya watu. Kukiwa na watu wengi hata masikini wanakuwa wengi vile vile.
Hiyo njombe yake Ina watu laki Tisa tu. Sawa na wilaya moja ya muleba huko mkoani kagera
 
Kama ni hivyo kwanini huo mchango hauakisi maendeleo ya hiyo kanda??
Waache ukanda na ukabila ulioasisiwa na mwendazake na kina Gwajiboy.

Ndiyo, watu wa huko wanazaliana kama simbilisi wa Kilolo, wanalima SANA viazi vitamu, wanafuga SANA, wanavua samaki SANA, na migodi ilikuwa huko, Serengeti so what?? Pato lao lote linaenda kujenga kanda ya kati.

Everyday is Saturday................................:cool:
 
Tuwe makini na kauli zetu japo ukweli unabaki Kanda ya Ziwa ndio nguzo ya Kisiasa, Kijamii na Kiuchumi nchini japo kimaendeleo hailingani na Kanda ya Kaskazini. Nachelea kueleza kwa vipi nguvu ya awali ya upinzani ilikuwa Kanda ya Ziwa
Na hata sasa hivi nguvu iko hivyo.

Usichokijua kanda ya ziwa huwa wanapiga kura objectively kuliko kanda yoyote ile ikifuatiwa na Dar es Salaam.

Hii kanda huwa wanabadilika badilika kila uchaguzi 2020 haikuwa upande wa ccm ila ililazimishwa tu.

2015 ilikuwa upande wa ccm ila 2025 itategemea mgombea huenda ikawa disaster kwa ccm watch out.
 
Kama wanawapiga kura wengi imekuwaje miaka yote wagombea hawatoki kwao?
Unataka kutisha watu kwa kigezo cha ukanda yaani kosa afanye mmoja uwahisishe kanda nzima?
Alifanya madudu na atapondwa kwa madudu yake.
Athari ya hizo kauli za kijinga ni kugawa taifa
 
Gawana Luoga ametoa takwimu za mchango wa kanda ya Ziwa kwenye uchaguzi wa Tanzania.

Mwaka 2019, kanda ya ziwa ilichangia Trilioni 34 kwenye uchumi wa Tanzania sawa na 25.9% ya pato la Taifa.

Kanda ya ziwa inazalisha zaidi ya 90% ya dhahabu Tanzania.

Kanda ya ziwa inazalisha zaidi ya 50% ya pamba na kahawa inayouzwa nje ya nchi.

Kanda ya ziwa inazalisha zaidi ya 95% ya mauzo ya samaki ndani na nje ya nchi.

Kanda ya ziwa inavutia zaidi ya 80% ya watalii ama mapato ya utalii Tanzania. Kwa maana kwamba Serengeti national park hutembelewa na zaidi ya 80% ya watalii wanaokuja Tanzania. Bila Serengeti utalii Tanzania ni kama haupo. Bila Serengeti wazungu tutaishia kuwaona kwenye tv.

Mwisho na kwa umuhimu wa wanasiasa, kanda ya ziwa ina wapiga kura wengi kuliko kanda yoyote ile Tanzania. Kanda ya ziwa ina determine urais wa nchi hii hivyo wanasiasa chagueni maneno na kauli zenu kuhusu watu wa kanda ya ziwa.

Mimi sioni cha ajabu hapa maana ni sehemu kubwa sana ambayo inaitwa kanda ya ziwa kuanzia huku Musuma mpaka akagera ni mbali sana ! vilevile kuna watu wengi sana. Lakini uchumi wa Tanzania haupimwi kwa kanda na hatuna majimbo Tanzania mfano Bukoba ni tofauti na Mara lakini kwasababu ya ziwa wanaitwa kanda ya ziwa
 
Mikoa yenu ina eneo kubwa na watu wengi lakini inaongoza kwa umaskini na uvivu. Mtamchangia nani maendeleo. Angalia ni mikoa gani ina shule nyingi na nani waliozijenga. Ndo utajua wenzenu wamewekeza wapi. Halafu angalia mikoa gani ina mambo ya kishirikina sana, wanaua albino na vikongwe.
Umeanza kujivunia kabila na maeneo wakati wewe mwenyewe hata huna mchango wowote wa maendeleo. Tusipende kudandia maisha mazuri kwa sababu tu kabila lako ana nyumba ya ghorofa! wewe mwenyewe una nini? Jiulize Mwamposa aliwezaje kuwakanyagisha mafuta? Ni ugumu wa maisha tu ndo unamfanya mtu aamini miujiza.
 
Back
Top Bottom