Gauni la nyama (Lady Gaga)

Hii ni nyama halisi mkuu, niliisoma kwenye jarida la OK! Ukigoogle utapata hata jina la designer (designer anasema hiyo ni nyama alichukua katika duka "butcher" lao la familia!!!). Huyu mtu kichaa jamani, siku nyingine atavaa gauni limetengenezwa kwa kinyesi!

Au kwa mbegu za kiume!!!!!!!!!
 
Lady Gaga- With her Meat dress


drpr8d2s0qb5

drpr8d2s0qb5

drpr8d2s0qb5

drpr8d2s0qb5

drpr8d2s0qb5

drpr8d2s0qb5

drpr8d2s0qb5










This is crazy, mtu na akili zake anawezaje kuvaa nyama kama si kumkufuru Mungu.


 

Similar Discussions

Back
Top Bottom