PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,230
- 17,813
View attachment 1983959
Akiwa na mume wake Jay Z kwa tuzo za Gram.
Picha ni ya muda Kweli!Hii picha mbona ya muda sana au mimi naifananisha
Umepotea sana mzeeNILIBAHATIKA KUMUONA HUYU LIVE
MITAA YA KAMBWANGWA
ova
na kula hovyo bila kuzingatia aina ya chakulaKuzaa....
Nlikuwa sehemu fulaniUmepotea sana mzee
Kwa hiyo kwa sasa Beyonce ni Mzee zaidi ya hapa?Hii picha ya zamani, kabla hata kobe hajafa
Hawa wenye pesa hawazeeki hizi picha zimepigwa 7 days agoKwa hiyo kwa sasa Beyonce ni Mzee zaidi ya hapa?
Maisha sio milele na ujana ni mfupi mno hasa ujana wa mwanamkeBeyonce amekuja kujiweka umbo baya
@Sky Eclat siku hizi hana tofauti na ccmHii picha mbona ya muda sana au mimi naifananisha
Chek me inbox chaliiNlikuwa sehemu fulani
Kna wkt nlikupigia sm yk inaita tu
Ova