Gaucho Nae Mbioni Kuachia Ngazi

Gaucho Nae Mbioni Kuachia Ngazi

spencer

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
3,599
Reaction score
3,226
GreatThinkers

Habari za kiintelijensia nimezipata maeneo ya area C hapa Dom, kuwa kufuatia zogo la Magogoni kuzushiwa kukubali Posho mpya za Mjengoni Gaucho naye ataachia ngazi.

Mwenye kujua zaidi atupe taarifa.
 
Gaucho anachezea timu gani saa hizi, sijamsikia siku nyingi
 
Ronaldinho-Nutmeg-Shot.jpg


Yanga wana mpango wa kumsajili kwa mkopo
 
Nitarejea baadae baada ya fumbo kufumbuliwa.
 
Dah, mimi mwenyewe nimedokezwa kuwa Gaucho ataachia ngazi.
Magogoni imehuzunishwa sana na kitendo chake
 
Jamani GAUCHO anameno yamefyatuka sasa inapelekea meno yake kuwa nje wakati wote na kuonekana kama anachekacheka. Je pale Magogoni Nani anatabia YA KUCHEKACHEKA KAMA GAUCHO according to my MIND.Nawkilisha
 
Back
Top Bottom