Gaucho Nae Mbioni Kuachia Ngazi

Gaucho Nae Mbioni Kuachia Ngazi

Jamani GAUCHO anameno yamefyatuka sasa inapelekea meno yake kuwa nje wakati wote na kuonekana kama anachekacheka. Je pale Magogoni Nani anatabia YA KUCHEKACHEKA KAMA GAUCHO according to my MIND.Nawkilisha
 
Li Gaucho lingeachwa tu limalizie kipindi cha pili, mi naona ni kupoteza kodi ya wananchi kwa kuongeza urefu wa payroll ya pensheni za ma star walioisha, maana wote waliokaa benchi wanalipwa 80% ya mshahara wa aliyeko kazini for life na marupuru ya kutibiwa India and so forth.
 
nami sijaelewa, gaucho yule ya brazili na magogoni wapi na wapi?
 
Serikali yote ijiuzuru tu wameshindwa kuendesha nchi!
 
Anna Makinda(2).jpg
ronaldinho-brazil2.jpg



MIMENO HOVYOHOVYO
 
Gaucho naye mbioni, hii ni nzuri sana
 
Back
Top Bottom