Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,908
- 7,752
Ni kweli mkuu lakini timing na platform ya kusemea ina matter sanaTufike mahali, tukubaliane, sio kila anayekosoa CHADEMA hana mapenzi mema na chama. sio kila anayesema kosa la CHADEMA ni CCM.
Kwani zilitoka wapi Ndugu ?Tueleze zilitoka wapi tukwambie zilipo sasa.
NI HIVI TANGU TUANZE KUMILIKI MAFISADI YAANI WALIHAMIA NA HUKU HAWA WAWILI YAANI SUMUNAYE NA BABU WA MONDOLI NA UFISADI UMEKUWA SANA NDANI YA CHAMA CHETUMkuu usihoji sana, mengine mezea tu!
Tuhoji makosa ya CCM Na Serikali yake, haya ya huku kwetu tusiyaweke wazi!!
Hiyo project ilikuwa chini ya Dr slaa, alivyoondoka tu chama kimebaki yatima!Nawaza tu! Isije kuwa wajanja wa Ufipa walishazigawana...
Tueleze zilitoka wapi tukwambie zilipo sasa.
Nawaza tu! Isije kuwa wajanja wa Ufipa walishazigawana...