Mchaka Mchaka
JF-Expert Member
- Jul 20, 2010
- 4,517
- 1,428
nyie ndio wauaji wa chadema, mtu yeyote anyekupenda anakuambia ukweli, we mjinga, mm ni mwanachama wa chadema tokea wewe hujui chadema ni nini! Lakini siwezi kukaa kimya mali za chama changu zinapoharibiwa na wapumbavu wachache. Kama unafikiria jf ni sehemu ya porojo na utani, nadhani hauko sawa, ila mm sifanyi propaganda, kamera yangu kuna mtu nimemuazima ningeweka picha hapa!samahani mkuu, hii ni hoja nyingine ya nape baada ya hoja ya kadi kufifia?naomba kujuzwa
Sasa wewe unadhani vuguvugu la mabadiliko ni kwenda kwa mwendo wa lelemama au?, lazima spidi.Bandugu, mm ni mwenyeji wa hapa Arusha, leo mida ya saa kumi na mbili nikipita maeneo ya stendi ndogo Gari aina ya FORD PICKUP iliyokuwa branded "M4C" na bendera ya CHADEMA ilinipita kwa kasi sana.
Haya, hiyo ikapita, nikaendelea na safari yangu kuelekea NJIRO KWA MSOLA, nikiwa njiani hapa maeneo ya njia ya kwenda SEKEI SEC karibu na PERFECT CHOICE S/MARKET ilipita " FORD YA CHADEMA " kama imeibiwa! Je ndio mwendo wa M4C huo?
Nyie madreva mliopewa dhamana ya kuendesha hayo magari yaliyotolewa msaada na Ujerumani kwa nini msiyaendeshe kwa adabu na utii? Au ndio maagizo kutoka makao makuu? Acheni kucheza na mali za chama chetu.
hahaha haha haha haaaaaaa mbavu zanguWanapiga jalamba namna kuendesha misafara ya Rais baada ya 2015.
Wanapiga jalamba namna kuendesha misafara ya Rais baada ya 2015.
Ndo tatizo la vitu vya bure, hayo magari hatamudu hata kukaa mwaka mmoja, yatakula mzinga tu.Bandugu, mm ni mwenyeji wa hapa Arusha, leo mida ya saa kumi na mbili nikipita maeneo ya stendi ndogo Gari aina ya FORD PICKUP iliyokuwa branded "M4C" na bendera ya CHADEMA ilinipita kwa kasi sana.
Haya, hiyo ikapita, nikaendelea na safari yangu kuelekea NJIRO KWA MSOLA, nikiwa njiani hapa maeneo ya njia ya kwenda SEKEI SEC karibu na PERFECT CHOICE S/MARKET ilipita " FORD YA CHADEMA " kama imeibiwa! Je ndio mwendo wa M4C huo?
Nyie madreva mliopewa dhamana ya kuendesha hayo magari yaliyotolewa msaada na Ujerumani kwa nini msiyaendeshe kwa adabu na utii? Au ndio maagizo kutoka makao makuu? Acheni kucheza na mali za chama chetu.
hivi state house wanatembelea benzi BMW? ni swali tu.afu umewahi ziona gari za mwenge? tanzania ina wilaya kama 120 na tarafa na kata unataka watembee kama wako kwenye jama za moro road?ford tu mambo yapo ivo je wakipewa benzi zile za state house itakuwaje? wanaendesha washapuliza kitu cha arusha, zitachakaa kabla ya 2015, au mmeahidiwa zingine before 2015? chadema bana mnaniacha hoi yaani mtu anatoa tahazari ya maana kama hiyo anabezwa ha ha ha ha haaaaaa hala hala msije tugongea watoto wetu au mkatuparua na vimkweche vyetu, hatuhusiki na
Gari si baiskeli, hujui kwamba magari yanaenda kasi!
Kaa mbali Na barabara usije ukapitiwa
Bandugu, mm ni mwenyeji wa hapa Arusha, leo mida ya saa kumi na mbili nikipita maeneo ya stendi ndogo Gari aina ya FORD PICKUP iliyokuwa branded "M4C" na bendera ya CHADEMA ilinipita kwa kasi sana.
Haya, hiyo ikapita, nikaendelea na safari yangu kuelekea NJIRO KWA MSOLA, nikiwa njiani hapa maeneo ya njia ya kwenda SEKEI SEC karibu na PERFECT CHOICE S/MARKET ilipita " FORD YA CHADEMA " kama imeibiwa! Je ndio mwendo wa M4C huo?
Nyie madreva mliopewa dhamana ya kuendesha hayo magari yaliyotolewa msaada na Ujerumani kwa nini msiyaendeshe kwa adabu na utii? Au ndio maagizo kutoka makao makuu? Acheni kucheza na mali za chama chetu.
Mbona unakitakiaa chama chako balaa?Kuna ambayo imeua mpaka sasa? Maana kuna misafara ya wakubwa inaua kila kuchwa.