gari ya mbunge wa arusha mjini.

gari ya mbunge wa arusha mjini.

Ringo Edmund

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2010
Posts
4,879
Reaction score
1,134
wadau hili ni gari la mbunge wetu wa arusha mijini.
toa maoni kuhusiana na hili gari.
 

Attachments

  • IMG_1174.jpg
    IMG_1174.jpg
    975.9 KB · Views: 413
ziko sokoni, nunua halafu li-restore tu na wewe.
 
baya kinyama..linafaa kubebea ndizi na maziwa toka meru
 
Arusha mjini hakuna Mbunge.........................
 
old limo!nchi za watu mwenye gari hiyo anaheshimika kuliko mawaziri wenu huko wenye vx v8,hiyo ngoma mafuta unanunua vibaba viwili unatembea arusha mjini nzima
 
Back
Top Bottom