Taasisi ya MAKONDA FOUNDATION inayomilikiwa na Mbunge wa Arusha Mjini ambaye pia ni Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo, inaendesha programu maalumu ya MSAADA WA KISHERIA, inawakaribisha wananchi wa Arusha Mjini kwenye Ofisi ya Mhe Mbunge Ofisi za Halmashauri ya Jiji.