Gari: Toyota GX110 Vs VEROSSA


acha kulisha watu sumu......VEROSSA ilitaka kureplace MARK II GX11O lakini ika-FLOP na ikawa DISCONTINUED 2003/4 hivi ndio wakatoa MARK X ambayo hadi kesho inatengenezwa na ni very successful kwa JAPANESE MARKET....EUROPE NA USA badala ya MARK II/X KUNA CAMRY.
 
Jamani nina mark II grande 110 naiuza namba ni CLK, ya kisasa zaidi ina gia 3 yaani D,D3, na D4. Ipo geita na kila kitu kipo haina mapungufu yoyote na imepaki tu, bei 12mil, na maelewano yanakubalika, mawasiliano ni 0782808844 ukiwa na whatsup ntakutumia picha, haina tatizo lolote naiuza ili kufanya mambo mengine ya kifamilia
 
Mark X na gharama yote kubwa sio siri haishtui kama VEROSSA...acheni verossa iitwe verossa jmnn...ngoja niendelee kuweka hela kwenye kibubu
 
wakuu,
out of topic. ivi vile vi volkswagen mgongo wa chura automatic vya siku hizi vinaweza kua vinacost bei gan?
 
I lyk verosa.*
ngekuwa na ukwac wa kutosha nngechukua mark x.
Jaman bei ya verosa ili nijue nmepelea kiac gan.
Nna mil. 7 na bado najchanga
 
Mjadala mzuri sana umetufungua macho, me nahitaji Rav 4 nzuri kama kuna mtu kwenye uzi anauza
 
MIMEJARIBU KUTAFSIRI HII LUGHA ALIYOANDIKA HAPA HUYU BWANA SIJUI ALIKUWA ANAMAANISHA NINI?
"Brother and daughter affair women and children face, you say that work out longer and more so your home will give thought"

红杏出墙面的哥儿媳妇孺,你说那明能再多就这么办事给你家就没想。
 
红杏出墙面的哥儿媳妇孺,你说那明能再多就这么办事给你家就没想。
We kweli Bome
 
laki saba hivi nafikiri...# don't kill me pleaseee...

Nadhani yuko serious, anamaanisha VW New Beetle, very classic little car! Inategemea ni cha mwaka gani mkuu donlucchese, ni vigari vizuri pia, lakini mimi kwa hivi vigari vidogo napendelea zaidi Mini Cooper na Hyundai Veloster.




 

Attachments

  • mini23.jpg
    22.3 KB · Views: 272
Last edited by a moderator:

uko misinformed kaka!
 

Uko sahihi mkuu. Verossa in successor ya Mark II name haikufaa ndiyo chap chap wakatengeneza Mark X kama successor ya Verossa. Mark X ndiyo mpaka sasa wanatengeneza. Ni kama Viltz ilivyotengenezwa badala ya Starlet. Camry ni kitu kingine tofauti. Naona Kaka anataka kuwaingiza watu mkenge.
 

Heh jamaa sijui katoa wapi taarifa eti Verossa ni ya kisasa kuliko Mark x na kwamba imechukua nafasi ya Mark X, mashudu, Mark X ni combination ya mark 2, chaser, cresta, na verossa, in short Mark X inereplace nafasi ya izo tajwa apo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…