Gari special kwa mwanamke wa dini yetu

Gari special kwa mwanamke wa dini yetu

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,037
Reaction score
168,677
541433_10201938445921352_1803507927_n.jpg
 
hahahhaha bui bui ya magari ya wanamama wa kisaudia...wanaume wa saudia wanaweza litamani gari hivyo wameona bora nalo walivike vazi la kulisitiri.
 
Aaagh! Uzee huu unanisumbua Mashaxizo!
Ndio tuseme na gari za w/ke lazima zivae juba au?
 
Elimu muhimu,wa Tanzania tumeikosa elimu,ndio kosa letu kubwa,hata kufahamu kwa nini gari lafinikwa na sehemu ya kioo kuwekewa wavu,hatujui maana yake.
 
Elimu muhimu,wa Tanzania tumeikosa elimu,ndio kosa letu kubwa,hata kufahamu kwa nini gari lafinikwa na sehemu ya kioo kuwekewa wavu,hatujui maana yake.

Acha uchoko wwe. watanzania wapi unaowaongelea?unajiona msomi kwa kujui kazi ya kapeti la gari?jifunze kuongea mbele za wanaume cku nyngne blood fool...
 
Heee gari limevalishwa nikaab mabwaku!!!Wanatafuta kusababisha ajali tu mmhhh
 
Farkhina
umenikumbusha zamani ukienda kupeleka posa ya kuoa unaulizwa baiskeli unayo? kama huna na mke ndio umekosa
na kule mitaa ya kule unaulizwa kama unadaiwa kama hudaiwi unaambiwa utamlaza mtoto na njaa mji huuwezi
Weeee mwenyewe hata baiskeli huna....
 
Farkhina
umenikumbusha zamani ukienda kupeleka posa ya kuoa unaulizwa baiskeli unayo? kama huna na mke ndio umekosa
na kule mitaa ya kule unaulizwa kama unadaiwa kama hudaiwi unaambiwa utamlaza mtoto na njaa mji huuwezi

Haaaaahahaaahha babu enzi hizo ukiwa na baiskeli waonekana bonge la tajiri eeeeh...vipi wewe ulifanikiwa?
 
Back
Top Bottom