Gari limefeli breki hakuna tena wa kulisimamisha

Mdaiwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2025
Posts
696
Reaction score
1,533
Watanzania gari limeshakata breki, pisheni njia. Derereva hana uwezo tena wa kulidhibiti. Pona yake atafute namna ya kujirusha nje kutokea dirishani, ila aking’ang’ania kulazimisha kulidhibiti ataenda kutumbukia nalo korongoroni na kuwaka moto.
 
Hapo presha iko juu kupitiliza kila mda daktari anaitwa kuangalia imeshuka au bado,aliyataka mwenyewe
 
Huyu safari yake itakuwa ni ngumu sana kuliko alivyo tarajia. Wananchi wamemkataa! Na dunia nayo imemkataa.
 
Back
Top Bottom