Gari la Serikali lanaswa na madawa ya kulevya

Kabisa sijui tungekuwa na hali gani saa hizi
So madawa yaliisha? Mimi jiwe alichofanya vizuri though kwa expense za nyongeza za mishahara, ukosefu wa ajira na kunyanganya wafanyabiashara pesa zao ni miundombinu tu, ila kwa asilimia kubwa jamaa alikuwa janga la Taifa. I personally and really thank God kwa kuingilia kati. Let his soul rest in hell.
 
Mkuu, shida ya haya mambo watu sasa wamejiachia wako huru....
Mama yeye anajipigia vijembe tu wala hana habari na sensitive issues kama hizi.
Hizi biashara haramu isipokugusa wewe wewe, basi kuna ndugu yako inaweza kumuathiri.
Tunahitaji sana neema ya Mungu katika hili
Mama yeye anajipigia kampeni tuu ...hatarii sana hii.
 
Gazeti la mwananchi limeripoti kuwa gari lenye namba za serikali limenaswa likiwa na kilo 430 za dawa za kulevya huku mmiliki wake akitokomea kusikojulikana na anaendelea kusakwa kila kona bila mafanikio.

My take.
Kwa kasi hii mateja na watu wanaotoa udenda barabarani wataanza kuonekana tena. Paul Makonda rudi kazini aisee uokoe vijana wetu.


MIRUNGI au BANGI

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
“Hiyo gari ilikamatwa ikiwa na plate namba STK 5211 ikionyesha ni gari ya Serikali, uchunguzi ulifanyika na cha ajabu kwenye vioo vilionyesha vimegongwa namba STJ 1972 ambazo ni tofauti na zilizokuwa zimebandikwa,” ilidaiwa.

“Bahati nzuri ndani ya hiyo gari kulikuwa na kadi yake ambayo sasa ilionyesha namba zake halisi za binafsi kuwa ni T 404 CMF na tulipochunguza TRA (Mamlaka ya Mapato) tulibaini huyu mtumishi huyo alilinua kwenye mnada,” ilielezwa.
Ilitakiwa baada ya kuliuza gari hilo serikali ichukue vibao vyake vya namba na kuvihifadhi wa ile mamlaka ya kuharibu vifaa na data za serikali ili viharibiwe
 
Back
Top Bottom