Gari La Obama Lakongoroka

Gari La Obama Lakongoroka

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Posts
23,263
Reaction score
17,140
article-2296295-18CFBC00000005DC-204_634x425.jpg


The downed 'Beast': President Obama's armored limo broke down in Tel Aviv this morning as it was headed to the airport after the driver mistakenly put gas in the engine instead of diesel
 
Yeye mwenyewe ametangaza Jana nia yake ya kuanza kutumia Gas kwenye magari badala ya Diesel & Petrol kwa magari yote USA. Mimi nilifikiri limekongoroka vyuma na mabati kumbe ni Matumizi yasiyo sahihi ya fuel kwenye jiko.

Dereva wake hana makosa alitimiza wajibu wake kama mtumishi mwaminifu.
 
ngoja nisubiri likipigwa mnada nijaribu bahati yangu!!nadhani litauuzwa kwa bei ya kutupa kama haya ya hapa kwetu!!300000 unajipatia iliyokuwa mali ya ikulu!
 
article-2296295-18CFBC00000005DC-204_634x425.jpg


The downed 'Beast': President Obama's armored limo broke down in Tel Aviv this morning as it was headed to the airport after the driver mistakenly put gas in the engine instead of diesel
Safari_ni_Safarinilikuja kwa kasi kuangalia hilo gari nilifikiri nila kwangu mie Obamawabongo kumbe nila yule wa marekani
 
Last edited by a moderator:
Lol...hii kali. Kumbe ata yeye inatokea? Sioni aibu tena kushuka na Kigeleni kwenya foleni!
 
Sasa si angempa mkuu wetu wa kaya yeye anunue jingine?
 
Naomba kujua uzito wa hilo gari ni tani ngapi.Hapa ninavyoangalia hii picha ni kama hilo Mbaula lililoibeba limeelemewa na uzito...
 
Wacha uongo gari halikuharibika bali kuna mtashi aliweka mafuta yasiyo kwa hilo karandinga. Uzuri wa wenzetu walikuwa na spare inasubiri, good move hawawezi kuwaamini wahamiaji.
 
Yeye mwenyewe ametangaza Jana nia yake ya kuanza kutumia Gas kwenye magari badala ya Diesel & Petrol kwa magari yote USA. Mimi nilifikiri limekongoroka vyuma na mabati kumbe ni Matumizi yasiyo sahihi ya fuel kwenye jiko.Dereva wake hana makosa alitimiza wajibu wake kama mtumishi mwaminifu.

Mkuu GAS (Gasoline) ni Petrol kule kwa mjomba
 
Inatokea sana tu Mkuu. Huwa hawafanyi mzaha kwenye ndege tu maana huko wanaangalia mara mbili mbili.

Angalia gari la Bush nalo liligoma huko Rome, Italy.


Lol...hii kali. Kumbe ata yeye inatokea? Sioni aibu tena kushuka na Kigeleni kwenya foleni!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom