Gari la Mh.Mnyika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gari la Mh.Mnyika

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by kau, Jul 5, 2012.

 1. kau

  kau Member

  #1
  Jul 5, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 80
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Samahani wana great thinkers naomba kuuliza hivi Mh.Mnyika anaendesha gari gani?
   
 2. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,690
  Likes Received: 1,127
  Trophy Points: 280
  kama lako.....mhhhh_sema sasa.
   
 3. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,390
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 160
  Boda boda
   
 4. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,747
  Likes Received: 111
  Trophy Points: 160
  Make: VW Model:""bito"" Year Make:1973, cc230,Color:light blue,Gear Transmission:AUTO Fuel:Gas oil,Seats:2
   
 5. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #5
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,172
  Likes Received: 4,505
  Trophy Points: 280
  Vitz ya kuzugia lakini nasikia anayo V8 Shangingi.
   
 6. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #6
  Jul 5, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
  Mmemshindwa kwenye Hoja mmeamia kwenye Gari?Hilo hapo tuambie ulikuwa unataka kusemaje?
   

  Attached Files:

 7. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #7
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 11,661
  Likes Received: 912
  Trophy Points: 280
  Halafu anakuwa na Msafara wa V8 kama kumi nyuma yake wakati anaelekea saigoni kunywa kahawa na kashata
   
 8. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #8
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,848
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Maswali mengine bwana..............
   
 9. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #9
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  mtoa mada fikiria kuhusu kuliendeleza hili taifa letu na sio kufikiria nani anaendesha gari gani, ndio mana nchi yetu kweli maskini
   
 10. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #10
  Jul 5, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 8,960
  Likes Received: 2,694
  Trophy Points: 280
  Kweli Jamii forum imevamiwa yaani mtu anaanzisha thread kama hii? eti unataka kujua gari la mbunge? litakusaidia nini? wewe badala ya kufuatilia ahadi zake wakati wa kampeni na utekelezaji wake unafuatilia gari?

  Angalia maendeleo jimbo mwake angalia mchango wake bungeni angalia mchango wake kwenye chama! acha upuuzi puuzi wako wewe! hii nchi kuna mambo mengi za kufuatilia mfano hayo matrilioni yaliyofichwa uswis sio mambo ya udaku! hame on you narrow minded person!!
   
 11. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #11
  Jul 5, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 8,960
  Likes Received: 2,694
  Trophy Points: 280
  kwani mkopo aliopewa kama mbunge hautoshi kununua V8?? acha mambo ya kidaku wewe gamba! lini utaondoa matope kichwani kwako na kufuatilia mambo ya maana??
   
 12. makusanya

  makusanya JF-Expert Member

  #12
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  nafikiri ulitendei haki jukwaa hili siyo sehemu ya kuuliza mambo hayo hapa we lete hoja km unayo km huna kakojoe ulale
   
 13. babe S

  babe S JF-Expert Member

  #13
  Jul 5, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Hii topic ingekuwa vizuri kama ingehamishiwa kwenye chit chat japokua inamhusu mwana siasa haina content ya siasa other than chit chat!!
   
 14. L

  Lugeye JF-Expert Member

  #14
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 60
  lina thamani ndogo sana kuliko lile alilohongwa lulu na yule fisadi wako wa magamba
   
 15. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #15
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 10,355
  Likes Received: 1,303
  Trophy Points: 280
  Nataka kujiuliza hii vitz ndio anakwenda nayo mjengoni.. kutoka ubungo hadi dom
   
 16. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #16
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,272
  Likes Received: 4,250
  Trophy Points: 280
  gari la mnyika halitusaidii kitu....
   
 17. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #17
  Jul 6, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Majibu mengine bwana............
   
 18. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #18
  Jul 6, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 22,892
  Likes Received: 2,063
  Trophy Points: 280
  JF Where we Dare to Talk Openly
  :focus:
  Na nyie Changieni Chenu
  Ndo Mana akalileta Kwenu.
   
Loading...