Gari hii imegonga mtu hapa majumba sita ukonga

Gari hii imegonga mtu hapa majumba sita ukonga

Mavazi ya kiislamu ni yapi wewe kilaza?
Fala wewe aliyeleta uzi Ni wewe uliyesema ulivaa mavazi ya namna hiyo isitoshe Mimi sipo huko Mimi nipo kwa ishu ya dada yetu aliyegongwa na gari usiku huu uwe na utu unajidai mjuaji mjuaji Sana kilaza wewe
 
Wewe kilaza maana hakuna sehemu nmewahi kutaja kuna mavazi ya kiislamu. Utakuwa kilaza hata huelewi bwege wewe una tabia za kike kike sana. Nyie huwa mnaolewa bure halafu ukoo wote na mtu mmoja.

Acha ushamba wewe juzi Kati ulianzisha uzi hapa baada ya kutaka kupigwa bakora ukila supu, chapati 4 na maziwa maeneo ya magomeni ukiwa na mavazi yanayoendana na ya kiislam na kadai ulitoa silaha kujinisuru Sasa Leo mdada kagongwa unaleta ungese wako acha hizo huyu informer Nampa 5/5

mgalatia mwenye pepo vazi la kiislam ni lipi mbona hata suruali waislam wanavaa mbona kanzu mapatri wanavaa na pope anavaa vazi lipi
 
Wamempakiza wameondoka nae wewe umejuaje anablid
[/QUOTE

Nimeandika kwa kifupi, nilikuwa kwenye foleni muelekeo wa pugu, jioni kawaida kuanzia airport mpaka banana huwa tunapita njia 2 mimi nilikuwa kwenye ya kwanza akatokea dada amevaa suruali nyekundu na t shirt nyeusi amebeba na mfuko, kuna uwezekano alikuwa ana toka jeshi kitengo cha anga (air wing) alipovuka barabara ya pili aliendelea kumbe kuna gari linapita barabara ya tatu ndipo akagongwa, niliacha safari yangu na kusogea eneo la tukio walikuwa zaidi ya wawili kwenye gari pia walikuwa wamejihami hata picha yenyewe nimepiga kwa usumbufu baada ya mvutano...hapo nimelivizia gari likiwa Linaondoka.
 
Wewe kilaza maana hakuna sehemu nmewahi kutaja kuna mavazi ya kiislamu. Utakuwa kilaza hata huelewi bwege wewe una tabia za kike kike sana. Nyie huwa mnaolewa bure halafu ukoo wote na mtu mmoja.
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu au uliona sifa kujitamba kuwa ulitoa silaha kuwatuliza wabaya wako silaha yenyewe utakuta ulikuwa na mawe mfukoni maana hata heshima ya silaha huna msenge wewe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kasahau kumbe, Sasa hivi anauliza mavazi ya kiislamu ni yapi?!
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu au uliona sifa kujitamba kuwa ulitoa silaha kuwatuliza wabaya wako silaha yenyewe utakuta ulikuwa na mawe mfukoni maana hata heshima ya silaha huna msenge wewe
 
Muache utani kwenye kila kitu huyu dada kupona ni majaliwa as she is bleeding masikioni na puani nimemjulisha RTO ocd shtakishari
Achana naye huyo,wapuuzi huwa hawakosekani hata kwenye mambo ya msingi kama haya.
Hongera kwa kutoa taarifa na kuonyesha uzalendo,kuna makosa yametendeka ndiomana madereva wakabadilishana ili kukwepa mkono wa sheria,na mambo kama haya ndio yamekuwa chanzo kikubwa cha ajali barabarani.Ni matumaini yangu vyombo vya usalama vitachukua hatua kwenye hili.
 
View attachment 1101489
Ilikuwa ikiendeshwa na kijana mdogo ambaye ametanua, yaani kupita njia tatu kisha ikamgonga dada mmoja na madereva kubadilishana usukani wakampakia yule dada na kutokomea naye, kabla watu hawaja kuwa wengi gari imegeuza njia na kuelekea muelekeo wa uwanja wa ndege

Hapa panatosha, usiende police kutafuta mambo mengine
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kasahau kumbe, Sasa hivi anauliza mavazi ya kiislamu ni yapi?!
...Issue kubwa hapa ni kuwa dada yetu kagongwa na gari.
Raia Mwema kaliona tukio hili na hakufurahishwa na jinsi Wagongaji walivyombeba Mgongwaji na kumuingiza kwenye gari na kuondoka naye haraka eneo la tukio.
Katika nyakati hizi za watu kutekwa na wasiojulikana na watu kupotea bila taarifa, raia mwema amefanya juhudi ili kujua taarifa za mwisho za mgongwaji...ili kama siku mbili baadae kuna familia itasikika ikimtafuta binti yao aliyempotea (hatuombei) toka juzi...angalau watu wapate pa kuanzia...Tatizo hapa ni nini?
Kwa nini mtu unapaniki kwa Nia njema ya mleta taarifa???[emoji848][emoji848]
 
Stress za maisha watu wanazitolea jf

Wasikupe tabu
 
View attachment 1101489
Ilikuwa ikiendeshwa na kijana mdogo ambaye ametanua, yaani kupita njia tatu kisha ikamgonga dada mmoja na madereva kubadilishana usukani wakampakia yule dada na kutokomea naye, kabla watu hawaja kuwa wengi gari imegeuza njia na kuelekea muelekeo wa uwanja wa ndege

Acha kiherehere ww
 
Mimi sioni kosa LA mtoa mada. Ameweka hii mada kwani humu kunawatu wa aina mbalimbali hata polisi wapo. Yeye kama yeye amrtimiza wajibu wake

Sasa watu kuanza kulaumu sio ustarabu, mtu unavyosema kiherehere sio sahihi, Pata picha amegongwa ndugu yako na umepata hizi taharifa uoni zitakusaidia?
 
Umefanya kazi nzuri sana, aliyefanya Hit & Run accident akidhani ni ujanja imekula kwake.
 
Sababu sikutaka kukugegeda siku ile usidhani ni kwa kuwa siwezi. Ila ni kwa kuwa situmii machoko. Wewe unaleta mambo yako ya kishoga kwangu ukidhani sababu tunakaa wote kinondoni basi ntakuwa natumia... Wewe endelea kuwapelekea akina Mody Beka ndo wanaokuweza. Ndo kisa cha wewe kujiita KI anus. Yaani ki ****** kwenu. Na kweli nyie kwenu wote mnatoa tigo.😁😁😁😁

Kukununulia soup na kinywaji pale mwananyama nlifanya uungwana tu lakini sikuwa nakutaka. Sababu tayari dada yako Mwajuma nlishamla na yule mdogo wako wa mwisho sababu ya njaa za familia yako. Mwaka huu utasugua sana makalio.
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu au uliona sifa kujitamba kuwa ulitoa silaha kuwatuliza wabaya wako silaha yenyewe utakuta ulikuwa na mawe mfukoni maana hata heshima ya silaha huna msenge wewe
 
Back
Top Bottom