Gari, biashara na nyumba bora kipi?

Gari, biashara na nyumba bora kipi?

Mpeleke shopping memsap apendeze kwanza. na wewe nunua suti mbili tatu. hamieni Arusha kwa muda wa wiki kutoa mikosi ukirudi fikiria ki Vitz kuosha jina na kuuza sura then tafuta kiwanja Boko
 
Mkuu 1. Fungua fixed account weka km 10m ? ( (benki hutoa faida kubwa kdg kwa acc hii vs muda)
2. Anzisha biashara ya km 3m
3. Faida utakayopata benki na biashara ingiza kwa ujenzi ( jenga taratibu anza na side house).
4. 5m ya tahadhari
Nashukr mkuu. Tatizo aina ya biashar ndo kweny mtihani mkubwa.
 
Listen hapa hakuna matumaini yoyote ikiwa kutoifanikiwa kwa Tanesco ni Mkataba Uliowekwa. Prof. Idriss hawezi kuubadilisha mkataba kisha matatizo mengi ya Tanesco hayapo ndani isipokuwa nje kwa hao viongozi wetu wanaoweka mikataba kwa ile asilimia 10, kisha kuipa mwelekezo management ya Tanesco jinsi ya kufanya kazi kwa kushirikiana na hizo kampuni.
Kama kweli JK anataka kuleta mabadiliko ya haki ni kuvunja mikataba yote na potelea mbali kama tutafikishwa ktk korti ya dunia... Bora tulipe fine ya mabillioni - We better off filing Chapter 11 bankruptcy protection na kulipa mabillioni kwa miaka kadhaa kuliko kuendelea na mikataba kama hii ambayo haitakuwa na mwisho mwema. All in all we will end up paying the same amount as long as hawa jamaa tutakuwa nao ktk mkataba.

Imekaa poa hiyo.
 
Mpeleke shopping memsap apendeze kwanza. na wewe nunua suti mbili tatu. hamieni Arusha kwa muda wa wiki kutoa mikosi ukirudi fikiria ki Vitz kuosha jina na kuuza sura then tafuta kiwanja Boko

Kwahiyo unanihamisha mujin kisaikolojia sio?
 
Inategemea na familia utokayo inabidi utuweke wazi!Kimsingi yote ni mazuri na yana mashiko ila thr base is on your family!!!!
 
Inategemea na familia utokayo inabidi utuweke wazi!Kimsingi yote ni mazuri na yana mashiko ila thr base is on your family!!!!

There no base before mimi ndo na strugle ili ku change the current situatio maana dah ni hatar.
 
I mean km mko vzr home ie familia yenu unaweza ukaanza na biashara ila km ni kabwela km mm jitahidi ujenge haya room mbili ndio mipango ianze!!!!
 
Naomba kujua ukiweka milion 7 fixed account kwa mwaka mmoja, itazalisha shilingi ngapi?
 
Back
Top Bottom