kaweke zote benki usibakishe hata shilingi ktk fixed account kwa miezi sita,lengo la awali ni kujipa muda wa miezi sita wa kutafakari nini cha kufanya huku ukiwa huwezi kutumia hata shilingi,Huu ndio ushauri namba moja mengine mazuri yatafuatia.Nimekushauri hivi kwa vile hujui nini cha kufanya na pesa hiyo kwa sasa
Ok,kwanza nitoe mchanganuo kidogo hapa,kujenga nyumba ni kuzika pesa especially nyumba kama sio ya biashara,sijaelewa gari ulimaanisha la biashara au la kutembelea,kama la kutembelea sikushauri coz litakuingiza gharama ilhali halizalishi though ndio mawazo ya vijana wengi for now,kama ni gari ya biashara basi inahtaji usimamizi wa hali ya juu kwani kiuzoefu biashara ya transportation inaongoza kwa presha,and you have to be smart sana,kuanzisha biashara I think litakua ndio wazo zuri sana,vigezo umepewa na wadau hapo juu,bt kuwa mpole tafiti kwanza then utoke na wazo la biashara nzuri.
Nishauri nifanye biashara gani.
Siwez kuchepuka kama ushaur wako ndo huo mm nabaki kwenye mstari.
haya banaAchana na hao watu hapo juu,nunua Gari Mkuu ndio mpango mzima hapa Mujini,sababu Gari linakupa Opportunity nyingi tuu,kama vile usafiri,kuuza sura,kupata Vipusa,matanuzi,kukodisha na kikubwa zaidi unaweza kulala huko huko kwenye Gari. Na pia usisahu hapa kwetu Tanzania Gari kwa sasa ni Indicator mojawapo ya maendeleo kama alivyotuambia Mkulu kuwa wingi wa magari yanayosababisha foleni ni kilelezo cha maendeleo.