Games: game kama "The Last of us"

Games: game kama "The Last of us"

yah najua ila ukumbuke ps3 ina support only fat32 ,na fat32 haiingiza file juu ya 4gb.Ukumbuke ertenal harddisk or flash yeyote uwezi format katika mfumo wa fat32 above 32gb ndo maana 64gb ipo katika format ya exfat
Inawezekana ndugu.. kuna software maalum kwa ajili ya fat32 inauwezo wa ku format had gb2,000 ya external.. maana mm nnayo external ya gb 500 nimeifanyia mambo.. na ipo full games
 
kuna genre nne kwenye hilo game
-action
-adventure
-survival
-Horror

tumia hizo kuku guide kupata alternative.
za haraka haraka angalia

-silent hill
-resident evil
-dead space

hizo ni series, yapo magame yake ambayo yanapatikana kwenye ps3.
chief kwema nilikuwa naimba kuuliza kuhusu Xbox 360 inawezekana Ku cheap,
 
Back
Top Bottom