Mkuu naomba maujanja ya kuangalia hizi chanel zilizopo kwenye app ya mobdro zionekane kwenye tv yangukuna genre nne kwenye hilo game
-action
-adventure
-survival
-Horror
tumia hizo kuku guide kupata alternative.
za haraka haraka angalia
-silent hill
-resident evil
-dead space
hizo ni series, yapo magame yake ambayo yanapatikana kwenye ps3.
tv yako ni smart? unatumia simu gani?Mkuu naomba maujanja ya kuangalia hizi chanel zilizopo kwenye app ya mobdro zionekane kwenye tv yangu
Nimedownload app (livenettv) huwa naangalia movies na mipira ya ulaya bila shida ila jinsi ya kuunga nicheki kwenye tv hapo ndio shida kidogo
Tv yangu sio smart na pia natumia huawei p9tv yako ni smart? unatumia simu gani?
hapa itabidi ununue dongle ya HDMI itakayoipa tv yako technology za wifi direct na miracast. za kichina online ni kama dola 10, humu jukwaani kuna jamaa alikuwa anaziuza 60,000.Tv yangu sio smart na pia natumia huawei p9
Shukrani mkuu ubarikiwehapa itabidi ununue dongle ya HDMI itakayoipa tv yako technology za wifi direct na miracast. za kichina online ni kama dola 10, humu jukwaani kuna jamaa alikuwa anaziuza 60,000.
alternative inunulie tv yako tv box la android, itakuwa smart hio tv na utakuwa huna haja na simu, hizo tv box zitaifanya tv kama simu. unaichomeka nyuma kama flash, unakuwa na remote yake unacontrol ukiwa kwenye kochi, vitu kama youtube, mpira, movies, vigame game vya android utacheza na kuangalia.
![]()
inauzwa dola 30 hadi 40 tv box ndogo ndogo kama fire stick, na hadi dola 200 kwa zile powerfull kama nvidia shield
SAMAHANI BRO EMBU NIPE MAELEKEZO KIDOGO HII KITU NILIONAGA TU TANGAZO ILA SIKUELEWA HO IT WORKS INAITAJI BANDO AU MAANA SIKUELEWA KABISA MTU ANAACESS YOUTUBE, AND EVERYTHING HASWA HASWA TVSHOWS . JE INAITAJI INTERNET TO WORK?hapa itabidi ununue dongle ya HDMI itakayoipa tv yako technology za wifi direct na miracast. za kichina online ni kama dola 10, humu jukwaani kuna jamaa alikuwa anaziuza 60,000.
alternative inunulie tv yako tv box la android, itakuwa smart hio tv na utakuwa huna haja na simu, hizo tv box zitaifanya tv kama simu. unaichomeka nyuma kama flash, unakuwa na remote yake unacontrol ukiwa kwenye kochi, vitu kama youtube, mpira, movies, vigame game vya android utacheza na kuangalia.
![]()
inauzwa dola 30 hadi 40 tv box ndogo ndogo kama fire stick, na hadi dola 200 kwa zile powerfull kama nvidia shield
yap inakula bando kama kitu ni cha online mfano youtube, ila haitakula bado kama hiko kitu kipo kwenye laptop au simu, mfano una movies zako zipo kwenye simu utaziona kwa wifi ila hazitakula bando.SAMAHANI BRO EMBU NIPE MAELEKEZO KIDOGO HII KITU NILIONAGA TU TANGAZO ILA SIKUELEWA HO IT WORKS INAITAJI BANDO AU MAANA SIKUELEWA KABISA MTU ANAACESS YOUTUBE, AND EVERYTHING HASWA HASWA TVSHOWS . JE INAITAJI INTERNET TO WORK?
Mkuu uliingizaje games kwa wifiuliingiza kwa kutumia nn mm nina god of war:ascension na hio last of us sema hauwezi kuingiza kwa kutumia flash or external harddisk, wifi inachukua muda sana niliwahi kuingiza god of war3 kwa wifi ilichukua masaa 7.Kama unataka game zuri na gumu download evil within ukilimaliza wewe utakuwa ni jini
Games unaingiza kwa kutumia external hard drive au flash.. ila kama ps3 yako ipo chippuliingiza kwa kutumia nn mm nina god of war:ascension na hio last of us sema hauwezi kuingiza kwa kutumia flash or external harddisk, wifi inachukua muda sana niliwahi kuingiza god of war3 kwa wifi ilichukua masaa 7.Kama unataka game zuri na gumu download evil within ukilimaliza wewe utakuwa ni jini
TR survival ni Game Tamu sana sasahivi nataka kutafutatafuta "tomb raider 2013 survival edition"
Mkuu hii si kwa ajili ya ps4 au hata ps3 inakubali?uliingiza kwa kutumia nn mm nina god of war:ascension na hio last of us sema hauwezi kuingiza kwa kutumia flash or external harddisk, wifi inachukua muda sana niliwahi kuingiza god of war3 kwa wifi ilichukua masaa 7.Kama unataka game zuri na gumu download evil within ukilimaliza wewe utakuwa ni jini
yah najua ila ukumbuke ps3 ina support only fat32 ,na fat32 haiingiza file juu ya 4gb.Ukumbuke ertenal harddisk or flash yeyote uwezi format katika mfumo wa fat32 above 32gb ndo maana 64gb ipo katika format ya exfatGames unaingiza kwa kutumia external hard drive au flash.. ila kama ps3 yako ipo chipp
kama una laptop niambie nikupe maujuziMkuu uliingizaje games kwa wifi