lakini hiyo pes haina shidaMkuu hiz link zinadownload vizuri bila shida ya kudaiwa pin code kwenye ku install
well said...ni kweli PES ukiipata at first ikiwa fresh pasipo patches inakuwa na Errors kibao kama kwenye through balls interceptions na hata ufungaji pia....ila bro ukiipiga patches na mkutane na nyote ni wazuri kwenye PES , Bro utaipenda....kuliona goal la mwenzako itakuwa issue...PES pasipo PATCH haijakamilikafifa ndo kila kitu, kinachokera kwenye pes
1.kufunga magoli ni rahisi mno
2.replay kila event yaani hata mpira wa kurusha wao wana replay
3. bado kwa wapenzi wa chenga ,naona control za kupiga chenga kwenye PES hazieleweki
4.through balls lazima zifike kwa mlengwa bila ku -interceptiwa na adui ,mi binafsi hiki kitu sikipendi
5.bado fifa ina vitu vingi mno kuliko pes
ila graphics naona kama PES wanaizidi kidogo fifa
hizi ni pes za zamani mkuu max 2013, pes za sasa hivi hamna through bali ni kama FiFa tu, na mimi naichukulia hii kama weakness.fifa ndo kila kitu, kinachokera kwenye pes
1.kufunga magoli ni rahisi mno
2.replay kila event yaani hata mpira wa kurusha wao wana replay
3. bado kwa wapenzi wa chenga ,naona control za kupiga chenga kwenye PES hazieleweki
4.through balls lazima zifike kwa mlengwa bila ku -interceptiwa na adui ,mi binafsi hiki kitu sikipendi
5.bado fifa ina vitu vingi mno kuliko pes
ila graphics naona kama PES wanaizidi kidogo fifa
hizi ni pes za zamani mkuu max 2013, pes za sasa hivi hamna through bali ni kama FiFa tu, na mimi naichukulia hii kama weakness.
through ball kwenye mpira kikawaida mara nyingi inazuiwa na interception zile, sasa unakuta Fifa through bali hata mlengwa haimfikii na anaipata anaekukaba, pes kama ya 2013 through ball inatangulizwa mbele then mnaanza kuikimbiza mwenye mbio kashinda, hata mpira halisi upo hivyo. utofauti wa pasi ya kawaida na through ball kwenye fifa ni mdogo sana.
tumia repack za fitgirlMKuu unaweza nsaidia link ni download PES 2018,
Maana nikidownload wananidai pin code,wanasema pin code haipo kwa eneo langu
Nisaidie link ambayo nikidownload mb zangu haziwez potea,nishapoteza mb kwa kudownload baadaye wanadai pin
Huko kuna maajabu gani mkuu?
Team PESFIFA is classic , fifa is good....ila aaah wapi hunitoi kwenye PES....tena kama PES 16 au 17 alafu uipige patch inakuwa tamuu kuliko FIFA.
Hii haitaji pin +patch?
Hii haitaji pin +patch
Ndo nataka chukua saiz na usiku park nasubili jibu nichukueUmeshaichukua mkuu
Nimeichukua haitaji pin wala patch iko poa sanaUmeshaichukua mkuu
Iko poa aisee ..yaan hutojuta kuidownload aiseePES ndio kila kitu, fifa haielewek kabisa yani
Minlikua nazo zote 2011,2013,2015,2016, 2017 ila pc yangu imezngua hdd zmeharbikia zote huko.. pes nzur sana saivi naicheza kwenye simuIko poa aisee ..yaan hutojuta kuidownload aisee
Kuna pc nnauza hzo setup zpo za topa 2016-2018,,,,n pm tupige biasharaMinlikua nazo zote 2011,2013,2015,2016, 2017 ila pc yangu imezngua hdd zmeharbikia zote huko.. pes nzur sana saivi naicheza kwenye simu