Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,127
- 11,906
wakuu, habari zenu...
Kwa upande wangu fifa ndio itabaki kuwa game bora kwangu. Nilianzaga kucheza FIFA 94, hadi sasa nakipiga na FIFA 14. PES sijaikubali naona uongo mwingi graphics mbaya.
Jambo lingine wakuu natumia PC yenye uwezo mdogo ambayo ina run vizuri sana FIFA 14 shida ni kwamba squad zangu ni za kitambo mno ninaomba mwenye kuweza kunisaidia kupata squad mpya za usajili wa juzi kati anielekeze. FIFA yangu ni ya kuinstall.
Nitashukuru.