Gamers only: FIFA Vs PES ipi unaikubali?

  • Thread starter Rapa Gentamycine
  • Start date

Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,295
Likes
9,070
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,295 9,070 280
Msaada tafaghali namna ya kutumia wireless ps 3 controller kwenye pc ....naitumia kwa kupitia usb...nikitoa usb nayo inatoka....je nawezaje itumia kama wireles
pc yako ina bluetooth? kama haina kanunue ile usb bluetooth kama 5000 hivi.
 
Emmilian paul

Emmilian paul

Senior Member
Joined
Oct 17, 2015
Messages
142
Likes
58
Points
45
Age
24
Emmilian paul

Emmilian paul

Senior Member
Joined Oct 17, 2015
142 58 45
Kirangi Paul:
Nna pc ina ram 8gb
Processor core 5
Cpu speed n 2.5,,,,je ninaweza cheza fifa 18 au pes 18
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,295
Likes
9,070
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,295 9,070 280
Kirangi Paul:
Nna pc ina ram 8gb
Processor core 5
Cpu speed n 2.5,,,,je ninaweza cheza fifa 18 au pes 18
inabidi uijue ni i5 ipi kwanza. nenda my cimputer kisha right click then properties.
 
mzee wa masele

mzee wa masele

Member
Joined
Feb 12, 2018
Messages
16
Likes
7
Points
5
Age
19
mzee wa masele

mzee wa masele

Member
Joined Feb 12, 2018
16 7 5
Fifa is the best ukianzia graphics,majina ya wachezaji
 
The coolest jw

The coolest jw

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2016
Messages
213
Likes
163
Points
60
Age
29
The coolest jw

The coolest jw

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2016
213 163 60
Fifa ni babukwa msiwe mnafananisha na game kama pes
 
ROBERTO 20

ROBERTO 20

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2017
Messages
2,389
Likes
1,785
Points
280
ROBERTO 20

ROBERTO 20

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2017
2,389 1,785 280
Wamezoea magemu ya kiwango cha chini...hawajacheza fifa ya kiwango cha ps4 na xbox 360
PES v FIFA? Unashindanisha PES na FIFA? Mbaya zaidi unakuja kusema PES ni wazuri kuliko FIFA, bahati yako umesema kuwa ni mtazamo wako.
 
FORTALEZA

FORTALEZA

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Messages
1,776
Likes
2,638
Points
280
FORTALEZA

FORTALEZA

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2017
1,776 2,638 280
Me nitabaki fan wa FIFA siku zote hata kama hakuna UEFA
Pes wenyewe wanazingua karibu Team zote kubwa hazina majina yao halisi. hawa jamaa pes hawana leseni kwa team nyingi
Fifa ndo mpango mzima FIFA 18 inaendelea Journey Hakuna kutoka nje mzee
Uefa ipo kwenye fifa 19, hakuna kutoka njeeee
 

Forum statistics

Threads 1,236,202
Members 475,029
Posts 29,249,735