danmarc
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 570
- 115
FIFA ndo kila kitu, kinachokera kwenye PES
1. Kufunga magoli ni rahisi mno
2. Replay kila event yaani hata mpira wa kurusha wao wana replay
3. Bado kwa wapenzi wa chenga ,naona control za kupiga chenga kwenye PES hazieleweki
4. Through balls lazima zifike kwa mlengwa bila ku-interceptiwa na adui ,mi binafsi hiki kitu sikipendi
5. Bado FIFA ina vitu vingi mno kuliko PES
Ila graphics naona kama PES wanaizidi kidogo FIFA