Game za playstore

Game za playstore

Hajto

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
5,652
Reaction score
5,635
Habari zenu waungwana,nilikuwa nataka kudownload game za magari kwenye playstore lakini nikishamaliza kudownload mwisho inaniletea vitu ivyo niscan app pembeni yake inaniambia open the app halafu pembeni yake inaniambia scan for virus je zipo salama izo app,picha yake ipo chini hapa
Screenshot_20210130-204936_Prayer Times.jpg
 
Habari zenu waungwana,nilikuwa nataka kudownload game za magari kwenye playstore lakini nikishamaliza kudownload mwisho inaniletea vitu ivyo niscan app pembeni yake inaniambia open the app halafu pembeni yake inaniambia scan for virus je zipo salama izo app,picha yake ipo chini hapaView attachment 1690167
Kuna app umeinstall ndio inaleta hvyo. Kma una yale ma app ya Cleaner sijui yatoe hayana maana sikuhz
 
Kuna app umeinstall ndio inaleta hvyo. Kma una yale ma app ya Cleaner sijui yatoe hayana maana sikuhz
Inamaana kwa simu haina athari sio sio
 
Back
Top Bottom