Game on - CCM kukata rufaa ushindi wa Lema

Game on - CCM kukata rufaa ushindi wa Lema

Status
Not open for further replies.

Ungana

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2011
Posts
357
Reaction score
74
Mchezo kama wa Dowans na TANESCO,akishinda huyu kesho mwenzake anakata rufaa!
 
Jambo jema ni kwamba wakati rufaa yao ikisubiriwa Lema atakuwa akifanya kazi kama mbunge halali wa Arusha.

Nnape si aliwaambia wapinzani wajifunze kukubali matokeo (akirejea uchaguzi wa USA)...vipi kwenye hili si wakubali yaishe tuuuu
 
Wanaweza kuomba full bench , ila wakumbuke kuwa CJ tayari alishakuwa kwenye hii kesi hivyo hiyo full bench sijui itatokea wapi na CJ ndio mwenyekiti wa hiyo full bench...........
 
mchezo kama wa dowans na tanesco,akishinda huyu kesho mwenzake anakata rufaa!

jamani hii ni rufaa alikatiwa ccm sasa wataenda mahakama gani, labda magogoni kwa jk... Kwani na penyewe si nasikia kuna court??????
 
kwani waliwahi shitaki wao?SI wanasema mpiga kura mwenye machungu?
 
Mchezo kama wa Dowans na TANESCO,akishinda huyu kesho mwenzake anakata rufaa!

kaka mahakama ya rufaa ndo ya mwisho ktk ngazi zote za mahakama nchini. nyie subirini 2015 kwenye uchaguzi basi.
 
Hivi kirusi chetu Zitto kimetoa pongezi kwenye fB au Twitter? Naona Mh. Mbowe, Dr. Slaa, Msigwa wamerusha.
 
Last edited by a moderator:
Tumeanza na mungu tuna maliza na mungu giza nanuru havichangamani hongera cdm hongela Kamanda Lema
 
la kuvunda ni la kuvunda tu hamna perfume inayoweza kuondoa harufu yake. Viva CDM:caked:
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom