Game on - CCM kukata rufaa ushindi wa Lema

Game on - CCM kukata rufaa ushindi wa Lema

Status
Not open for further replies.
Kama hii habari ni ya kweli, basi tuna tatizo sana. Kuna wakati inabidi maamuzi yafanyike kwa maslahi ya nchi. Hatuwezi kuendelea na kesi za changuzi kwa miaka! Nchi hii tuna matatizo mengi mno, kuna maeneo sasa hivi watu wanakufa njaa mfano Ngorongoro (Gazeti la Raia Mwema week hii), lakini tunapoteza hela kwa kesi zisizo na kichwa wala miguu!

Na jambo la kusikitisha kwenye hii kesi ya Lema, mtu ambaye inasemekana ndiye alikashfiwa hajaleta mashtka. Batilta yuko Nairobi anaendelea na shughuli zake, huku nyumbani tunapoteza muda, hela kwa madai kuwa kakashfiwa. Mbona yeye kakaa kimya?

Ideally yes. Practically no. CCM haina chembe ya maslahi ktk nchi hii ila ni maslahi ya chama chao tu. Silly party.
 
Well, hakuna shida. Everybody has the right to exercise their right. Huwezi kusema wasikate rufaa. kama miili yao ikijisikia vibaya kwa huu ushindi - basi watafute njia ya kuuvunja nguvu ushindi huu. Suala ni kama ni busara au la? Hili litajulikana baada ya jitihada zao.
 
Vipi hatima ya wale Makada wa CCM waliofungua kesi watamudu kulipa gharama za kesi au ni CCM inazilipa hizo gharama?
 
Acha umbumbumbu wa sheria,court of appeal ndo inatoa uamuz wa mwisho

Mkuu kama sijakosea inategemea jaji anaweza akatoa nafasi ya mwisho kwa washindwa na anapaswa kuonyesha nia hiyo ndini ya siku 14.
 
Nadhani atakuwa anamaanisha wanakata rufaa POLICE, au Ikulu. Angekuwepo shekh Yahaya (RIP) basi tungesema.
 
Watumikie wananchi wao sasa,kesi zinatosha. Lema kashinda, tukubali matokeo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom