Gamboshi: Makao makuu ya wachawi Kanda ya Ziwa

Wabongo kwa kukuza story.
Gamboshi ipo na ni Kijiji tu. Yale mauzauza ya kurushwa mchanga kwenye bati usiku na kuona Watu wanarukaruka nje wakiwa uchi ni utamaduni wetu sisi Wasukuma kumkaribisha mgeni kwa namna ya kipekee.
Yeuwii. ..kazi kweli kweli
 
Waambie hao wachawi wawaroge dunia nzima ilete mali na vipawa nchini kwetu. ..asante sana
 
Unazungumzia ule mnada wa kila Jumanne pale Bariadi mjini?

Hao fisi mimi sijawahi kuwaona hata siku moja na huwa nikiwa Bariadi sikose kwenda mnadani kula nyama choma na kunywa Balimi.
Mwezi wa saba nilikua bariadi mjini....fisi nilikutana nao...mwanzoni nilibisha ikabidi niende saa 1 hivi usiku na dereva&mwenyeji wetu....nawasilisha kitu nilichokiona kwa macho....mwanzoni nilibisha kama wewe
 
Hahahaaaaa umenikumbusha sehemu moja inaitwa Bholema (Bulima), nikiwa bado sina akili niliaminishwa na wazazi ukifika huko usikubali kupewa maji kwa kuambiwa pita ndani uchote kwenye mtungi kwani ukiingia tu hautaona mlango wa kutokea.
 
Hisia za uchawi zimekuzwa na wageni hasa watumishi wasiopenda kuendeleza makabila mengine (sukuma).
1474389723595.jpg
 
Uwepo wa Gamboshi haumaanishi kwamba uchawi upo.

Gamboshi ni kijiji tu kama ilivyo Ikungulyabashashi au Ngulyati.

Gamboshi siyo kijiji cha kufikirika.

Hata wewe kesho ukitaka kwenda Gamboshi utafika tu.

Tofautisha kati ya hekaya kuhusu Gamboshi na kijiji chenyewe cha Gamboshi.
Mkuu acha ubishi hayo mambo yapo sana na kama hujawahi kucheza ngoma ya kisukuma iitwayo "beni" hautaweza kuyafahamu haya. Mimi pamoja na ujanja wangu lkn huko napaheshimu sana na nina details nyingi tu toka kwa babu zangu.
 
Ubishi gani?

Mimi kwetu Ikungu...kilomita chache tu kutoka Gamboshi.

Nusu saa kwa baiskeli kama natokea Ikungu kwenda Gamboshi nimeshafika.

Utanieleza nini wewe nisilolijua kuhusu Gamboshi?
 
Umesema unapenda sana ukaniuliza nipo wap

Huyo aliyekwambia kakupotosha kidogo.

Nimesema nawapenda, ndiyo.

Halafu nikakuuliza kama na wewe ni mweupe.

Sikukuuliza uko wapi.

Ndo matatizo ya kutegemea Wasukuma feki hao.

Utaishia kupotoshwa tu.
 
Kwa kutumia macho yako upo sawa na ulicho kiona, tusubirie wenye kutumia jicho la Tatu wameona Nini watujuze.
 
Huyo aliyekwambia kakupotosha kidogo.

Nimesema nawapenda, ndiyo.

Halafu nikakuuliza kama na wewe ni mweupe.

Sikukuuliza uko wapi.

Ndo matatizo ya kutegemea Wasukuma feki hao.

Utaishia kupotoshwa tu.
sio kosa lake yy ni mnyamwezi mm mweupe ndio
 
Mwezi wa saba nilikua bariadi mjini....fisi nilikutana nao...mwanzoni nilibisha ikabidi niende saa 1 hivi usiku na dereva&mwenyeji wetu....nawasilisha kitu nilichokiona kwa macho....mwanzoni nilibisha kama wewe

Hata mimi mwezi wa 6 nilikuwa Bariadi na mnadani nikaenda.

Sikuona fisi wala nguchiro.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom