IFAC
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 3,626
- 9,145
Msukuma na Uchawi ni kama chanda na Pete.
Leo tarehe 31/05/2022 mjini bariadi ni siku muhimu mno
Watoto wazuri wote kutoka Vijiji, miji na wilaya kama kama Maswa,Lamadi,Misungwi, Kwimba, Shinyanga, Kahama mpaka Sumbawanga ,Mpanda na Itilima.
Vijiji kama Lalago, Ngulyati, Laganga bilili, Nyangokolwa, Ikungulyabashashi, Guduwe ,Gambosi na Malampaka.
Mwamapalala, Dutwa na maeneo mbalimbali.
N.B kama makao makuu ya Uchawi ni Gambosi basi Mji mkuu wa Uchawi Tanzania ni Bariadi.
Wilaya yenye waganga wengi ni Itilima inakadiliwa kuwa Ina Waganga wengi kuliko idadi ya watu wanaoishi.