GADO Vipi Tena?

GADO Vipi Tena?

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Posts
23,263
Reaction score
17,140
EA-February-23-13-Falling-education-Standards-in-Tanzania.jpg
 
Si kweli banah wasimtupie lawama mwalimu ticha wa watu kwani asiyekuwepo na lake halipo wajiangalie wanyewe waliopo kwa sasa,wamwache mbaba wa watu ajipumzikie kwa amani.
 
Ha ha ha ha wa mwanzo ndio kosa lake maana akamatwae na ngozi ndiye huwa mla nyama.
 
....enzi za mwalimu...mtu ukiitwa mwalimu unahesimika sana!
...enzi za muuza sura..............embu saudari nisaidie kumalizia hii sentensi tafadhali
 
Last edited by a moderator:
Huyo wa kwanza kabisa naona anachekelea.

kumbe umemuona eeh. Yaani yeye kwake hilo si tatizo na huenda hajui kama ni tatizo. Na ndio maana kule marekani aliseme hajui ni kwanini watanzania ni masikini
 
Back
Top Bottom