Gaddafi makes bizarre TV appearance!

The U.N. Security Council was holding an emergency meeting, and Western diplomats pressed for it to demand an immediate halt to Gahdafi's retaliation against protesters. With international condemnation mounting, nations around the world were scrambling for ways to get their citizens out of Libya, and oil prices surged.
The eruption of turmoil in the capital escalates a week of protests and bloody clashes in Libya's eastern cities that have shattered Gadhafi's nearly 42-year grip on the nation.
Many cities in the east appeared to be under the control of protesters, including some oil-producing regions, as units of Gadhafi's army defected. Protesters in the east claimed to hold several oil fields and facilities and said they were protecting them to prevent damage or vandalism. The regime has been hit by a string of defections by ambassadors abroad, including its U.N. delegation, and a few officials at home.
In response, Gadhafi's security forces have unleashed the bloodiest crackdown of any Arab country against the wave of protests sweeping the region, which toppled leaders of Egypt and Tunisia.
Anywhere from 233 to 250 people are known to have been killed so far, according to estimates by the U.N. Office of the High Commissioner for Human Rights and the New York-based Human Rights Watch. Those numbers don't appear to include casualties from two days of deadly attacks on protesters in the capital, Tripoli - a sign of the difficulty of getting information out of the highly closed North African Nation.
 
Yaani kiongozi anayeamuru wafuasi wake wapambane na waandamanaji akiahidi vyombo vya dola vitawapa support unasema ni mzalendo.
Hata kama waandamanaji wanafanya fujo lazima kutumia nguvu ya kadili kuwakabili,lakini kutumia jeshi kuwapiga risasi ni ukatili si uzalendo.
 
A doctor in the eastern city of Benghazi told The Associated Press a colleague at Tripoli's main hospital told him 41 people were killed in Tripoli during clashes Sunday night alone, but the number could not be confirmed, and it was not known how many died Monday and Tuesday. A Tunisian doctor on his side of the border crossing with Libya said he saw many Libyans wounded on the other side, waiting but blocked from crossing to get treatment.
The head of the U.N. agency, Navi Pillay, called for an investigation, saying widespread and systematic attacks against civilians "may amount to crimes against humanity." The first major protests to hit an OPEC country - and major supplier to Europe - sent oil prices soaring to more than $93 a barrel Tuesday. A string of international oil companies have begun evacuating their expatriate workers or their families, and the Spanish oil company Repsol-YPF said it suspended production in Libya on Tuesday. It accounted for about 3.8 percent of Libya's total production of 1.6 million barrels a day
 
Another resident said commandos were in control of the streets and were stationed on rooftops, opening fire. "Life is paralyzed, even those who were shot can't go to hospital," he said. "No one is able to walk in the street."
 
The week of upheaval in Libya has weakened - if not broken for now - the control of Gadhafi's regime in parts of the east. Protesters claim to control a string of cities across just under half of Libya's 1,600-kilometer-long (1,000 mile) Mediterranean coast, from the Egyptian border in the east to the city of Ajdabiya, an important site in the oil fields of central Libya, said Tawfiq al-Shahbi, a protest organizer in the eastern city of Tobruk. He said had visited the crossing station into Egypt and that border guards had fled. In Tobruk and Benghazi, the country's second largest city, protesters were raising the pre-Gadhafi flag of Libya's monarchy on public buildings, he and other protesters said.
 
He insisted that since he has no official title, he cannot resign - Gadhafi is referred to as the "brother leader," but is not president. He said he had not ordered police to use any force used against protesters - that his supporters had come out voluntarily to defend him. "I haven't ordered a single bullet fired," he said, warning that if he does, "everything will burn."
 
He said that if protests didn't end, he would stage a "holy march" with millions of supporters to cleanse Libya. He demanded protesters in Benghazi hand over weapons taken from captured police stations and military bases, warning of separatism and civil war. "No one allows his country to be a joke or let a mad man separate a part of it," he declared.
 
Mkuu binafsi huwa nakuheshimu sana kupitia post zako na coment zako kwenye udadabuzi wa topic mbalimbali.
Lakini leo umeniangusha sana! yaani unamtetea mtu ambae dunia mzima anajulikana kuwa ni dictator wa kutupwa?
Hivi ujui viongozi wengi wa kiafrica huwa wanachukulia mfano wa utawala wa kukaa madarakani kwa mda mrefu toka
kwa Gadaffi? unaniangusha mkurugenzi wangu

Mkuu, nilishawahi kusema mara kadhaa kwamba kwamba ukiona nimepotoka niwashe tu usione aibu.

Sasa, hebu jiulize. Ilani ya ccm na Chadema wanaomba tuwachague ili watuboreshee huduma za jamii na uchumi. Ukimpeleka dr Slaa kwenda kugombea urais Libya, ilani yake itakuwa nini? Uchumu tulivu, huduma za jamii bure na bora kuliko hata marekani.

Hivi gaddafi na JK ni nani dikteta? Saddam na Bush nani alikuwa dikteta? Statistically, Gaddafi is an outlier, yaani, an awkward case. Usitumie theorie ambazo wengine wote wamefiti.

Kama ikitokea wakamuondoa madarakani Libyans watakuwa wameruka mkojo kukanyaga mavi
 
Hey Obama even Clinton had the balls to bomb him, if he wants to die well do something about it.​
 
mwone jamaa alivyokuwa anajigamba na mikono
capt.2cb394ca1be645a99baef8462d8f7fb9-2cb394ca1be645a99baef8462d8f7fb9-0.jpg
 
Kwani wanaomtaka aondoke si wananchi hao hao anawalazimisha kuwaongoza? Anataka afe akiwa Raisi? Ina maana Libya hakuna anayeweza kuyanlinda mafuta zaidi yake? Siku akifa inakuwaje? Asitake kuwaona watu amzuzu, baadhi ya viongozi wachache huwa wanaona bila wao hakuna uongozi!

Mkuu msando, we have been brainwashed to believe kwamba usitawale muda mrefu ukafia madarakani. Kwamba siyo demokrasia. Lakini sisi tuabadili viongozi kila baada ya miaka kumi, kwa amani! Are we better off than Libyans?

Mbona sasa tunalazimika kutumia nguvu ya umma if democratic elections were anything to go by?
 
Mbona hakuwapeleka Mozambique kuwaondoa wareno!!??? kama kweli alikuwa na mapenzi na afrika!
Yaani mpaka leo hujajua nikwanini alimsaidia Idd Amini au hutaki tu!?
Gaddaf! umesahau alisema nini alipofika Uganada miaka ya hivi karibuni? au hutaki tu...

hebu tukumbushe...alipofika uganda alisemaje? ningependa nifaham mkuu!!!
 
Kinachonitisha ni kauli yake kwamba atapitia nyumba baada ya nyumba kufagia uchafu. Halafu anaongea kwa hasira sana. Asipodhibitiwa haraka, inaonekana ataua wananchi wengi sana. Yangu macho!
 
Hayo ni mambo ya viongozi wengi wa afrika ambao wameshakaa pale whitehouse na kuujua utamu wake,, huwa hawataki kuachia madaraka hadi kwa nguvu ila siku zote wana nchi ambao ndio wengi na ambao anawaongoza wakiamua atoke hata afanyeje atatoka,,, sasa akiwaua wote atamtawala nani? mambo ya nchi za ulaya na magharibi ni propaganda yake tu he want to fool them but this is what we call the wind of change. upepo huu hauzuiliki hata ufanya vp ndo historia inavyosema upepo huu ukija hakuna wa kuuzuia. amwangalie mwenzake hosn mubarak alisema nini na sasa yuko wapi...ni hayo tu wana JF:A S 112:
 
The difference between Gadaffi and Mubarak is that the former has no place on earth to ran to...He will die fighting and from the pictures coming from Tripoli the blood shed is inevitable.
 
Mkuu, nilishawahi kusema mara kadhaa kwamba kwamba ukiona nimepotoka niwashe tu usione aibu.

Sasa, hebu jiulize. Ilani ya ccm na Chadema wanaomba tuwachague ili watuboreshee huduma za jamii na uchumi. Ukimpeleka dr Slaa kwenda kugombea urais Libya, ilani yake itakuwa nini? Uchumu tulivu, huduma za jamii bure na bora kuliko hata marekani.

Hivi gaddafi na JK ni nani dikteta? Saddam na Bush nani alikuwa dikteta? Statistically, Gaddafi is an outlier, yaani, an awkward case. Usitumie theorie ambazo wengine wote wamefiti.

Kama ikitokea wakamuondoa madarakani Libyans watakuwa wameruka mkojo kukanyaga mavi

wewe bado una mawazo ya kitoto kabisa, hivi unajua maana ya dictator au unataka tu kuleta utani?
mtu umetawala miaka 42 , hata kama umeleta mazuri yapi kumbuka kuwa watu watakuchoka tu.
Na ninataka kukuhakikishia kuwa sio kweli kwamba Libya is far better than other countries ,eti unathubutu kujaribishia na USA?
are u joking?
kule hakuna kazi, maisha ni magumu?
kuna matabaka ya walio nazo na waio kuwa nazo
kuna matajiri kweli kweli
na kuna masikini wa kufa mtu
kweli huduma za afya ni za bure lakini huduma zake zinasemekana ni mbaya sana kwani hakuna madawa , madaktari na vitu vingine
hivyo ni jina tu
Kama uliona hotuba ya mtoto wake ya juzi utaamini ninalokuambia, alijaribu kuwashawishi wananchi na kuwaambia kuwa kwa sasa tumeweka 200bln dolars kwa ajiri ya miradi mbali mbali , maana yake ni kuwa miradi mingi iko chini ya mawe...
Kukosekana haki na uhuru kwa wananchi ni tatizo jingine.
Huwezi kunieleza eti kisa unanipa chakula,matibabu bure ndio unikataze kupata mawasiliano na nchi zingine, unikataze kuwa na media, unikataze uhuru wa kuongea na mengine.
Hivyo wana Libya sio vichaa wala wajinga, wanajua kila wanachofanya wala hawabahatishi.
 
Wakuu nasikia Obama anaongea saa hii hivi TV channel gani wanaonyesha maana haipi ktk sky, TR, Al Jazeera or BBc
 
Back
Top Bottom