Gaddafi makes bizarre TV appearance!

Gaddafi makes bizarre TV appearance!

Jamani Gaddafi anatia huruma anaongea kama kachanganyikiwa vile! ana hasira mfano hakuna yaani
ni hatari tupu. katangaza vita kwa wabaya wake wote na anasema watamkoma

Mkubwa kachanganyikiwa tayari....:A S 13:
 
Ana hasira huyo! Anasema hata bado hajaanza kutoa amri ya kutumia risasi.

Anasomea wananchi wake vifungu vya sheria
 
Na ameruhusiwa na nani kuuwa wenzake kwa visingizio vya kisiasa?

Miaka 42 imetosha na aondoke hapo madarakani. Ila anagombana kubaki madarakani maana hana pa kwenda.
 
anasoma mpaka mistari kwenye kitabu, he said he has to fight to last blood
 
anasoma mpaka mistari kwenye kitabu, he said he has to fight to last blood
Mkuu jamaa kachanganyikiwa mpaka joho alilovaa linamvuka chini na mdomo wake unatoa mapovu ya hasira
 
Na ameruhusiwa na nani kuuwa wenzake kwa visingizio vya kisiasa?

Miaka 42 imetosha na aondoke hapo madarakani. Ila anagombana kubaki madarakani maana hana pa kwenda.

Nilivyomsikia mkuu anasema walioua raia waandamanaji ni jeshi la anga la marekani. Kwamba hata waliua watu waliokuwa kwenye sherehe ya harusi wakidhani ni waandamanaji
 
Gaddafi is a great African leader, he is patriotic he cannot kneel down to US and allies, mi namkubali sana and above all he fights for his peoples lives!! what else do u want? mbona nyie Dar na miji mingine kibao tunaumia na hali ngumu sana...

Unamkubali siyo?
Hivi unajua kuwa hata Tz na Libya siyo kihivyo, alituma wanajeshi kumsaidia Idi amin, au hujui hilo?? Au unataka kusema amebadilika?
 
Anasema marekani wanataka kutumia bunduki zile walizotumia kuharibu Somalia ili kuivuruga Libya
 
Gaddafi is a great African leader, he is patriotic he cannot kneel down to US and allies, mi namkubali sana and above all he fights for his peoples lives!! what else do u want? mbona nyie Dar na miji mingine kibao tunaumia na hali ngumu sana...

ابالالاابياسيسن
 
..viongozi wa Afrika wamekula sana hela ya Gaddafi.

..haya sasa watume majeshi kwenda kumsaidia.
 
Anaitisha wananchi na vijana kutoka nje ya majumba yao kulinda nchi ya na mafanikio ya kimapinduzi ya libya
 
Ni kweli alituma wanajeshi kule Uganda lakini kwa kufanya kazi he is by far better kuliko Rais wetu hapa
 
..viongozi wa Afrika wamekula sana hela ya Gaddafi.

..haya sasa watume majeshi kwenda kumsaidia.
Sasa ameshika karatasi flani na anaisoma na anawaponda wale mabalozi wote waliojiuzulu
kwa kuwaita ni vibaraka wa magharibi
 
Bwana Gadafi, amekaa madarakani kwa zaidi ya miaka 40, akiwaambia kuwa anawapenda watu wake. Cha ajabu ni kwamba, anawaua wale wanaompinga! Je, ni kweli anawapenda? Ikumbukwe kuwa hawa ni watu wake!

Amejaribu kumtumia mwanae kugawa mkwara au hata na kuua watu bila huruma, lakini wananchi wanapandisha HASIRA zaidi.

Amejaribu kulitumia jeshi, lakini, jeshi linamgeuka wakati mwingine na kujiunga na wananchi.

Amezuia internet, na mawasiliano mengine, akidhani kuwa watu wataacha, WAPI, wanazidi kumkomalia tu.

Amejitokeza mwenyewe kugawa mkwara, watu wanamwambia NCHI SIYO YAKO, LAZIMA UACHIE NGAZI!

Mkwara anaogawa, na visingizio rukuki, inaonyesha kuwa hakuota kuwa ipo siku atakuwa naye kama kina yahe! Haamini kuwa, MWISHO WAKE UMEFIKA. Anasema atafia kwenye tundu la asali! Ukiangalia muda aliotumia rais wa Tunisia kuachia ngazi, na muda aliotumia rais wa Misri kuachia ngazi (sambamba na mikwara aliyotoa), inaomnyesha kuwa Gadafi ataachia ngazi baada ya Februari na kabla ya April, 2011! Nadhani ndani ya siku 40!

Hata hivyo, anaweza kuwa ameua maelfu ya watu... siajabu hata elfu 3 au zaidi,

Mungu Ibariki AFRIKA.....Epusha bara hili na dhuruma.....
 
Back
Top Bottom