Gaddafi makes bizarre TV appearance!

this is the last throw of the dice,Gaddafi is using oratism to try to sway the nation to his side,this could as well be the greatest comeback of all time.He is using revolutionary terms to justify his position and to cap it all HE is ready to die a matyr rather then abandon ship
 
Kapunguza munkari sasa, kachoka, naona moja haikai mbili haiingii, anabadilisha miwani tu! jamaa anasema yuko tayari kutumia violence
Kweli mkuu sasa kapunguza munkari naona kachoka kabisaaa,miwani chini miwani juu tafrani tupu
 
this is the last throw of the dice,Gaddafi is using oratism to try to sway the nation to his side,this could as well be the greatest comeback of all time.He is using revolutionary terms to justify his position and to cap it all HE is ready to die a matyr rather then abandon ship

He is just ranting and raving...
 
mfa maji huyo sasa anatapatapa anahesabu siku tu atakuwa uhamishoni hana lolote lileee hata askari wake washamgeuka soon LIBYA itakuwa huru
 
Huyo mfa maji huyo mwache apayuke maji yakijaa tumboni atazimika mwenyewe tu.

Hakuna presha naye anakufa huyo taratiiiibu, ganzi imeshamwingia miguuni anakatika anytime wewe subiri tunahesabu siku tu.
wewe mpasuajipu mwakilishi wa bububu upo eh usilale kama komba au ukapenda kunukuu kama nyambari nyangwine
 
Kwa leo atautumia muda huo kufoka hadi afe. Kama hata kufa leo, ataenda kufia mbelekwa mbele kishujaa kama anavyosema! Shujaa unaua watu wako? Kama ni shujaa si unarusha kombora huko kwa unaowafokea?

anadai yeye c raisi,ni KIONGOZI WA LIBYA,ni mwanamapinduzi,baba wa taifa,na pia ni shujaaa,wanaoandamana ni wala unga
 
Huyu mwarabu alijiona mungumtu...sasa yamemfika, ni maumuisho ya laana nyingi mno kwa matendo na maneno yake mengi maovu......
Nyau mkubwa, alileta askari wake kumsaidia Idd Amini.......
 
Amesema yeye ni masikini,hana kitu-how many presidents in africa can say this-maybe Nyerere from beyond the grave
 
Huyu mwarabu alijiona mungumtu...sasa yamemfika, ni maumuisho ya laana nyingi mno kwa matendo na maneno yake mengi maovu......
Nyau mkubwa, alileta askari wake kumsaidia Idd Amini.......
Ni kweli alijiona mungu mtu na sasa kakalia kuti kavu tena la moto
 
Huyu mwarabu alijiona mungumtu...sasa yamemfika, ni maumuisho ya laana nyingi mno kwa matendo na maneno yake mengi maovu......
Nyau mkubwa, alileta askari wake kumsaidia Idd Amini.......

alileta askari wake kumsaidia Idi Amin sababu Nyerere alikuwa na hidden agenda ya kumrudisha Obote
 
Speech haina mwanzo wala mwisho, hivi nani kasema mkwara unasaidia kuweka mambo sawa? halafu anajipendekeza, eti kama mnampenda Gadafi ilindeni Libya!!!! sijui
 
Back
Top Bottom