Paul Kijoka
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 1,399
- 256
Jesus christ jamani walimwengu wana mambo vyombo vya habari vinasema hosn mobarak amekamatwa sasa najiuliza akikutwa ana hatia atapewa adhabu gani? Toeni tu maoni siyo mbaya au ungependa afanyweje? Pia akipatikana hana hatia ? Itakuwaje ?
Umejiunga lini humu JAMVINI? Umesoma sheria zake au unataka kuondoa watu ktk hoja?