Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,838
CHADEMA mmeona? Hawa ndiyo Wanaume siyo ninyi mnatishia nyau kumbe hata uwezo wenyewe wa kuhamasisha hamna!
Eti Watanzania wamekaa wanasubiri fisadi lowasa atoe tamko wakinukishe, kumbe fiksi tupu na kura milioni 6 waliiba, watu wa IT wa chadema walihack Tume yetu ya Uchaguzi na kujiongezea kura!
Sasa Gaboni tofauti ya kura 5,594 tu kati ya aliyetangazwa mshindi na aliyeshindwa, lkn fisadi Lowasa anasema kwamba kaibiwa kura wakati tofauti yake na Magufuli ilikuwa ni kura milioni 2 karibia 20% ya kura, kama siyo ugonjwa wa akili ni nini?
Raisi Ali Bongo Ondimba anasema yeye ndiyo ameshinda wakati Upinzani wanamgomea!