Kwahy na mwenyekiti wenu akakubali, huoni hapo tatizo lipo kwa kiongozi na sio hao wngnIle akili ya kumpokea Lowassa na kumpa nafasi ya kugombea urais ilitoka kwenye hili kundi la g55. Haiwezekani mtu ajiunge siku hiyohiyo chamani na umpe cheo!
Inasikitisha sana mkuu 😂😹😹😹 Nvgjfgcunjihh oh hug chnfvv
Hata lowassa hakusoma katiba ya chama na mkamchagua kugombea urais 😂Hawajasoma hata katiba ya chama
Noma sana😂😂😂😂kituko mwanachama wa siku moja.... Anapewa na cheo..... Hivi ni vituko vya mwaka
Soma mada ndugu yangu John kwan una haraka za kwenda wapMwenyekiti kapewa nani? 😂
Uchawa unaanzaga hv, kwamba yeye ana vichwa viwili wengn kimoja?Sasa lowasa utamfaninisha na salum mwalim?
Kwani si wamefata ubwabwa ulitaka wapewe viporo? 😹😹😹😂😂😂😂kituko mwanachama wa siku moja.... Anapewa na cheo..... Hivi ni vituko vya mwaka
🤣🤣🤣Mrema yeye anavizia kacheo ka maokoto ya U-tube
Sidhani...Mbowe alikuwa China ndio kaenda kutengeneza sare za chauma. Ile 12b ya ccm ndio hiyo wamepewa plan B na jinsi ya kuitumia.
Usijisumbue na hawa conspiracy theorists.
wewe ni CCM acha kujifanya mjuaji. Yani huyo nyani anaekupa hasara hata ukimkamata sheria inakukataza hata kumhoji sasa unalima ili iwaje?Mimi binafsi iwapo hakutakuwapo mgombea wa CHADEMA, nitapiga kura kwa mgombea wa CHAUMMA.
Naiunga mkono CHADEMA mara zote, ila pia sikupenda kumuachia nyani shamba la mahindi hata kama ananipa hasara
Hata ingekua kweli kuna dhambi gani? Kwani CHAUMA si chama cha upinzani pia au lazima iwe CDM?
Uchaguzi wa ndani ya Chadema ulishaisha.Hata ingekua kweli kuna dhambi gani? Kwani CHAUMA si chama cha upinzani pia au lazima iwe CDM?