G.P.A ya mbunge David Silinde

Unaitaka ya nini?mbona hao wenye GPAau doctorate na maprofesi ndio miongoni mwao wametufikisha hapa tulipo? Uongozi ni hekima na maarifa ya kujua kipi kifanyike kwa wakati gani na pia kutambua majira na nyakati bila kusahau kulinda na kutetea maslahi ya wanyonge na wahitaji.mtu atendaye haya hata kama aliishia la saba kama sheria inavyosema bado ataonekana wa maana. Sisemi elimu ni mbaya ninachosema ni namna wasomi wanavyoweza kutumia usomi wao ktk kuwahudumia watanzania ktk usawa bila upendeleo
 
Elimu yetu imefika pabaya sana. Vyuo vinaproduce vilazer wasiojiweza kwa lolote wanaojivunia ma-GPA makuubwa. Jaji mkuu mstaafu Augustine Ramadhani mbona huwa hafichi kama ana gentleman degree na wote kazi yake twaifahamu.
 
Elimu yetu imefika pabaya sana. Vyuo vinaproduce vilazer wasiojiweza kwa lolote wanaojivunia ma-GPA makuubwa. Jaji mkuu mstaafu Augustine Ramadhani mbona huwa hafichi kama ana gentleman degree na wote kazi yake twaifahamu.
Kazi ipi? Ana mapungufu mengi tu, sema he is within acceptable standards. Alikuwa mwanachama wa CCM wakati ni Jaji Mkuu, (mfanyakazi wa serikali) kitu ambacho ni kinyume cha sheria!
 
Ha
pana tabia siyo mbaya maana kama kweli mtu amemaliza UDSM na ana Bachelor alafu anabishana mambo ya kiutumbo utumbo basi nchi yetu elimu haina maana kabisa mimi nilidhani ni mtu wa darasa la saba ndiyo maana anabishania neno Muheshimiwa!!!! mpaka mishipa ya shingo inamtoka
 
Watoto wa udsm mnajipa sifa za kijinga mnamaliza shule kichwani mpo kawaida sana, mmeshindwa kutengeneza tomato, angalieni vyuo kama makelele wametengeneza gari, nyie mnakalia udsm noma noma, ndo maana mnaishia forever living
He heee. Mkuu umeua. Eti wanaishia Forever!
 
GPA? Kwani GPA ina application gani katika maisha?
Ina application! Inareflect kwa watu juhudi zako katika maisha yako ya kila siku aidha unabidii au ni mtu wa kupuuzia mambo. Inaonyesha how serious are you! Hata kwenye kuomba kazi pia inaonyesha ni kwa jinsi gani utajituma kwenye kazi unayoomba. Sema tu kujuana kunawafeva kipata kazi waliofeli au waliopata gentleman
 
Shilinde alipata C flat kuanzia mwaka wa kwanza mpaka wa 3,sasa mpe GPA
 
Ubaya ni kuwa anakula vizuri
Anatumia diplomatic passport we huna au una ya karatasi nyeupe mwisho Namanga

Anaitwa Mheshimiwa wewe hata kwa familia yako tu sio mheshimiwa
 

Wenye PhD wametusaidia nini kama TAIFA???
 
JK alipata 2.1 na amewaongoza miaka 10

Namkumbuka jamaa angu mmoja alisoma UDSM BEd Kiswahili aka disco akiwa na gpa ya 1:8 , hakukata tamaa akaenda kusoma tumaini iringa sheria, huwez amini alikuwa ni the best student mwaka wao, sa hivi anahangaika na PHD huku akipiga kazi pale;; so usihofu na GPA za hicho chuo, ofia matendo ya wanafunzi wake
 
Christopher Ole Sendeka naskia ana first class
 
Hivi Kilaz.a ni tusi siku hizi? Naona limeondolewa kwenye list
 
Bajeti ya wizara au waziri kivuli ni mawazo ya msomaji peke yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…