Fuvu la mtu wa kale

Aisee tembo kama kichwa cha fuso[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] my ribs
 
Sun can provide evidence for all things that once happened on the earth the matter is how to extract information from it ## this theory will be proved by me one day
 
Mkuu FUSO, Umenena vyema sana, naomba ninukuu mistari miwili ya kitabu kitakatifu cha Biblia Isaya 55:8-9 inasema "Maana mawazo yangu si mawazo yenu,wala njia zenu si njia zangu;asema Bwana. Kwa maana kama vile mbingu zilivyo juu sana kuliko nchi,kadhalika njia zangu zi juu sana kuliko njia zenu, na mawazo yangu kuliko mawazo yenu"

Tunachopaswa ni kumwabudu Mungu Muumbaji kwa kushika kile kidogo alichotujalia kukifahamu kuhusu yeye ili itakapompendeza,siku moja atupatie fursa ya kuketi naye na atufunulie mambo mengi makuu ambayo akili zetu haziwezi kuyaelewa kwa sasa.
 
zilizagaa mitandaoni kama mabaki ya nephilites...lakini sivyo hakuna mabaki ya aina hiyo yaliowahi kugunduliwa
 
unachukua stori za mitaani unaleta humu....nani aliyekudanganya
 
fake news....na hiyo ni Photoshop... hakuna baki la watu wa aina hiyo...kama wapo niambie wamegundulika site gani...na waliishi miaka IPI..mana hatuna hiyo taarifa ya hivo vinyago
 
Hapo ndo najiuliza mimi ...sisi tumepata wapi huu ufupi kwa nini hatukuwa kama wao?
Kuna muda wanasayansi nao kuna maswali ya kuwauliza
watakuona chizi ukiuliza swali LA kipuuzi kama lako.....mbona hata wakati huu waafrika kutoka magharibi hawako sawa na wajapani in terms of physical appearance ni mambo ya adaptability tu kulingana na mazingira husika
 
Kwa ushahidi huu ni ipi theory sahihi ya kuwepo binadamu kati ya theory ya Creation of man na ile ya Development of man
Development of man ...wana concrete evidences ..ambazo zinashikika na kuelezeka kwa hiyo ndio best kwa sasa
 
hiyo ndio adaptation sasa ....binadamu alikua mkubwa na mwenye nguvu ili apambane na hali ngumu na mbaya ya kipindi kile unakuta anawinda kwa kutumia mawe sasa fikiria awe kama wewe ambae hata kuua kuku kwa mawe huwezi angeishi vipi....technology inapokua hakuna haja ya kua strong kiasi hicho unatakiwa uwe smart
 
Reactions: ywf
shikamoo FUSO
 
So binadamu wanazid kupungua ustrength

Ndio. Hip ni principle ya evolution. Kama vile manyoya yalivyoisha miilini mwetu baada ya ugunduzi wa nguo(hivo yakawa hayana kazi tena) vivyo hivyo na nguvu ya misuli yetu inazidi kupungua jinsi tunavyogundua tekinolojia/mashine
 
Kiukweli kuna 'developments' nyingi sana kwenye human evolution ukiangalia modern man na wale wa enzi hizo utofauti ni mkubwa japo evidence nyingi zinaonesha tumetoka huko
 
Kweli wewe fuso aisee mtoto azaliwe asubuhi atembee mchana.
 






Isaya 55:8-9

Alfa na Omega
 
Apa ndugu umeongeza chumvi
Tatizo lenu mnaanini sayansi ambayo na wao wanachofanya ni kukisia tu baada ya mifupa (genetic) kuipima maabara; ki uhalisia binadamu wa kale alikuwa na nguvu za ajabu; sasa kama anaweza nyenyua uzito wa tani tano; hivi akizaliwa anakuwa na nguvu gani kwa misuli yake kumfanya ashindwe kutembea. Kwanza fikri mazingira ya porini baridi kali; majani; chakula matunda ila watoto walizaliwa na kuishi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…