FUTURE INTELLIGENCE: Hakutakuwa na vifo tena, lakini...

Mbona haya yameshaanza? Huko kwenye plastic surgery na mambo ya dirdo! Unajua tayari kuna midoli kama binadamu kabisa na ina shepu mbalimbali na maumbo pia kwa jinsia zote!
Nakubaliana na wewe mkuu... Ila swala la kuishi milele hilo ni uncertainty... Hiyo ni nature na biology invyosema..
 
Hapo uliposema “inawezekana kabisa nguvu za asili(nature) zinafaidika na uwepo wa viumbe hai kwenye huu ulimwengu” ni pakubwa sana,tena sana!! Labda ipo siku tutakuja kulijua hili kwa undani!!
 
kumbe na ww n ANTI GOD
kumbe na ww ni atheist maana YEYE anasema kila nafsi itaonja mauti (na pengne anashuhudia kuwa " mshahara wa dhambi ni mauti ") ww unasema in the near future hakuna kifo .......sababu ya wanasayanci ......daaaah ,,,,so sad ,,,,,,it seems ure lacking basic knowledge about cytology*
 
Huwa mara nyingi sana Shetani hutumia Watu wenye uelewa flani ili wawashawishi Watu wengi kumpinga Mungu
 
Ipo ingine inaitwa Altered Carbon
Watched #StarTrekDS9 S3 EP17 "Visionary". After a radiation accident O'Brien starts to leapfrog into the future, he sees his own death. The Romulans arrive for their intelligence briefing about the Dominion. The Romulans don't make event pleasant for the crew. #StarTrek   
 
Toka nje ya box la kiimani kuna mengi ya kujifunza huko nje..! Mimi nina thabiti kuliko wewe na ninaweza kuitetea kwa ithibati jadidi kutokana na niliyoyaona, kuyasoma, kuyafanya kwa vitendo na kuishi nayo! Ila imani yangu kwa Mungu wangu hainizuii kujifunza mengine nje yake
 
haina noma ngoja m niendelee kukaa ndani ya boksi ww toka nje ya boksi 😇🤣😅🤣😅 ....labda kama ulikua hujui JF does not exist hata ww piah huexist.....hata iyo keyboard uliyoitype haiexist....nimejaribu kutoka ndani ya boksi.....vituo vya polisi piah havipo we nenda tuu kakunye pale central afu kisha umkojolee afande maana haexist ukimaliza shushia na msokoto wa bangi🤣😅😇😅 ,,,, ,,,,,nje ya boksi kunatisha,,,nishatoka nje ya imani tayar ,,,ivi tulikuwa tunazungumzia nn vile???@
 
Kwenye series ya the the 100 niliona wakihifadhi kumbukumbu za mtu wa zamani na kuziingiza kwenye mwili mpya. Pia walionyesha teknolojia mtu analala na kuamka baada ya miaka 100 bila kuzeeka na akiwa na kumbukumbu zake waliiita cryo sleep.

Anyways to some extent I believe what you have written here.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…