G'taxi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 6,651
- 8,699
Katika kipindi cha FUTUHI sasa hivi kinachoendelea,kuna ile wanaita sijui mtafiti,ameongea swala la wanandoa,akisema kwa sasa wanaume wamekua na mfumo dume,ni vyema wanawake kama amezaa watoto wanne ajitahidi azae nje ili apate mtoto wa uzao mwingine kuchangamsha familia kuliko kua na watoto wa baba mmoja mwenye mfumo dume.ni bola mwanamke awe na kamchepuko nje,leo sijawaelewa mmefundisha nini hasa Brother K.maana ndo ulikua unaongea,ni kama umepolomosha maadili ktk jamii badala ya kuyajenga.