Futari ya Bond Street London

Futari ya Bond Street London

Waislamu Tanzania hawawezi kufanya hili, mtabaki kuwashangaa wenzenu tu!!
 
acha ubwege we mama,wanaofturu hapo ni waislamu kutoka nchi mbalimbali dunia nzima,yes na waafrika wapo,wazungu waliopo hapo ni wale homeless wa mitaani na Waromania.kilichopo ni kwamba UK wamekubali kulegeza sheria za kiislam hasa kipindi hiki cha mwezi mtukufu.
 
Kuna ndugu zangu wapo London, wanasema kitendo kilileta Nuru ya ajabu na wasio Waislam wengi sana iliwaingia hiyo Nuru na kusilimu hapo hapo.
 
Kuna ndugu zangu wapo London, wanasema kitendo kilileta Nuru ya ajabu na wasio Waislam wengi sana iliwaingia hiyo Nuru na kusilimu hapo hapo.
nuru ililetwa na chakula cha bure,ofcourse mateja walisilimu ili wale bure kila siku na pesa za welfare wakanunulie madawa
 
The fastest growing religion in Europe is Islam:

Last edited by a moderator:
acha ubwege we mama.

Naamini hata nyie hamna rukhsa ya kutumia lugha chafu na kukera msiokuwa nyie. Heshima kitu cha bure, ukijiheshimu utaheshimiwa.

wanaofturu hapo ni waislamu kutoka nchi mbalimbali dunia nzima,yes na waafrika wapo,wazungu waliopo hapo ni wale homeless wa mitaani na Waromania.

Kuwa homeless au kuwa Raia wa Romania hailivui lile jina la Jumla tulilowapa la kuwa wazungu. Uwepo wao hao uliowaita wazungu homeless na Waromania ni kheri nyingine kuwa kwetu sie hawabaguliwi watu kutokana na utaifa, rangi na uwezo. Licha ya hayo, bado hauna ushahidi kuwa wazungu wasiokuwa homeless na Waromania hawakuhudhuria. Tupe ushahidi kutetea hoja yako kama u miongoni mwa wasemao ukweli.

kilichopo ni kwamba UK wamekubali kulegeza sheria za kiislam hasa kipindi hiki cha mwezi mtukufu.

Mmmh!! Sijui!! Kuna sheria za kiislamu UK? Kwa maana nyingine UK inatekeleza Sharia kipindi cha ramadhani 🌙 tu? na je kufuturisha hadharani ni kutekeleza sharia ipi ya kiislamu?

Nikushauri tu kuwa, isikupelekee chuki ikawa ni kikwazo kuwafanyia wenzio wasio wewe au jamii yako UADILIFU. Tekeleza uadilifu, kwani itakukurubisha kwenye UchaMungu.

#Peace
 
Nakumbuka nilipokuwa kijana mdogo kule kwetu tulikuwa na waislamu wachache lakini wakarimu sana,enzi hizo hizo watu walikuwa wanafuturu hadharani ukifika muda wa kufuturu ,jamvi lilitandikwa nje na yoyote aliyekuwa anapita maeneo ya makazi hayo hata asie muislamu alikaribishwa bila kuulizwa hata dini yake,maadamu ni mwanadamu unapita basi ilikuwa ni karibu,tena karibu ya moyoni na si ya kiswahili,enzi zile kulikuwa hakuna mambo ya ''kuuza futari''barabarani au mahotelini ,wakati huo ilikuwa ni thawabu kubwa kumkaribisha mpita njia kufuturu kwenye mkeka barazani nje,siku hizi mambo yamebadilika futari ni sebuleni na kwa wanaojuana tu.

Umenikumbusha mbali sana. Baba yangu alikuwa anatufundisha adabu ya kula na mojawapo ni kumkirimu mgeni/mpita njia wakati wa iftar, hata tukimaliza, tuliacha chakula kwa kukifunika na kukitunza vizuri ili wengine pia wale. Ukarimu wa hali ya juu!
 
niliwahi mpa kampani ya kufunga lafiki yangu,maremu kwa sasa, niliangaika na njaa mchana kutwa.ilpofika saa kumi tumbo likatulia. ikafika muda wa futuru. nikala vyakura vingi na tofauti! uji, mchanxganyiko wa viazi maharage,chai,ccacola, juice, maji, dagaa wa kukaanga, kidogo badae muwa mara togwaa ya kuloweka, sambusa kidogo tu wali nyama, samaki kidogo pilau. ndugu yangu niliimwa tumbo badae usiikie, chenchi za kutosha nikaludisha. mida ya saa tano tulikuwa mtaani huko ndio nilialibu yani ikanibidi nifanye kweri mtaroni. hii abari mpaka upewe elimu yake ndio ufunge.usiparamie bira elimu.
 
Daa!! Wewe kiboko huo mchanganyanyiko balaa lazima utengeneze nishati.
 
niliwahi mpa kampani ya kufunga lafiki yangu,maremu kwa sasa, niliangaika na njaa mchana kutwa.ilpofika saa kumi tumbo likatulia. ikafika muda wa futuru. nikala vyakura vingi na tofauti! uji, mchanxganyiko wa viazi maharage,chai,ccacola, juice, maji, dagaa wa kukaanga, kidogo badae muwa mara togwaa ya kuloweka, sambusa kidogo tu wali nyama, samaki kidogo pilau. ndugu yangu niliimwa tumbo badae usiikie, chenchi za kutosha nikaludisha. mida ya saa tano tulikuwa mtaani huko ndio nilialibu yani ikanibidi nifanye kweri mtaroni. hii abari mpaka upewe elimu yake ndio ufunge.usiparamie bira elimu.

Ha ha ha ha.
Dah...
Kamanda Huu mchanganyiko hata Bombay mix sio hivi.

Cc black sniper
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom