Zainab Tamim
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,293
- 583
Fuso mayai, long body na crane..
Engine, gear box, dif, safi kabisa...
Inahitaji tairi 6 zilizopo zimechoka na rim mbili, crane inahitaji matengenezo ya kuweka crane wire mpya na pulleys mbili. Body nyuma inahitaji floor mpya.
Inahitaji show ya mbele.
Bei 40m kwa aliye serious mpigie Mzee Abdul 0625249605 tunatoa gharama za matengenezo yaliotajwa.
Gari ipo Kibaha Misugusugu.