Fursa ya ufugaji wa ng’ombe wa maziwa

Jun 30, 2021
5
14
Fursa ya Ufugaji wa Ng'ombe wa maziwa ni kubwa sana nchini.Kwa wastani Tanzania huzalisha maziwa lita bilion 3 kwa mwaka huku karibu lita bilioni 1 pekee hutokana na ng'ombe wa kisasa. Hata hivyo mahitaji ya maziwa ni makubwa sana (zaidi ya lita bilioni 10), japo logistics mbaya za uhifadhi, usafirishaji, Usindikaji na uuzaji vimepunguza watu wengi kunywa maziwa. Biashara zenye ubunifu katika mnyororo wa thamani , inaweza kuwa na tija

Baadhi ya faida za ufugaji Ng'ombe wa Maziwa ni:

1. Ufugaji wa Ng’ombe wa maziwa hautegemei mvua, uzalishaji hufanyika wakati wote; kiangazi na mvua

2. Bei ya maziwa, mara nyingi haishuki hata kama kutakuwa na maziwa mengi kuliko mahitaji

3. Mahitaji ya maziwa yanazidi kuongezeka kila siku. Ulaji wa bidhaa za maziwa pia unazidi kuongezeka

4. Kulinganisha bidhaa zingine, soko la maziwa ni rahisi kupatikana. Kwa kifupi gharama za kuuza maziwa ni ndogo kulinganisha na bidhaa zingine

5. Ufugaji wa ng’ombe wa maziwa ndiyo biashara pekee, kuna uhakika wa kupata kipato kila mwezi
6: Una faida kubwa, ng'ombe mmoja huweza kuzalisha maziwa kwa muda mrefu hadi miaka 5-7
7: Gharama za ulishaji ni nafuu kulinganisha na mifugo wengine.

Na Biashara ambazo unaweza kufanya katika ufugaji wa ng'ombe wa maziwa ni pamoja na:

1: Ufugaji wa ng'ombe wa maziwa
2: Kutengeneza biogas system majumbani
3: Kusindika maziwa
4: Kukusanya, kuhifadhi na kuuza maziwa kwa wasindikaji/walaji
5: Kutengeneza mbolea ya asili itokanayo na kinyesi cha ng'ombe wa maziwa
6: Kutengeneza chakula cha ng'ombe wa maziwa
7: Kuuza mbegu za dume zenye jinsia moja (sexed semens)
8: Kutoa huduma za uhamilishaji (artificial insemination)
9: Kuuza mitamba ya ng'ombe ya maziwa
10: Kuuza pembejeo zingine kama mawe ya lishe, chanjo, madawa, vifaa/reagents za vipimo vya magonjwa

Tumeandaa kit inayoitwa MKULIMA AGRIBUSINESS KIT inakupa mambo yote kuhusiana na Ufugaji wote, miongozo ya ufugaji, mipango ya biashara na Michanganuo ya Gharama na Faida na mambo mengi kedekede

Pata KIT yako kwa tsh 19,999/=Tu- Whatsapp kwenye
+255621106923
 
Fahamu haya:

Gharama za ufugaji ni kwa ajili ya;
1: Ujenzi wa mabanda
2: Kununua mbuzi wazazi
4:Gharama cha chakula
5: Gharama za chanjo na madawa
6: Gharama za ulinzi na wafanyakazi
7: Gharama za usafiri

Mapato ya biashara ya ufugaji mbuzi hutokana na;
1: Kuuza Watoto
2: Kuuza mbuzi jike
3: Kuuza madume
4: Kuuza mbolea

WATEJA WA MBUZI
• Wafanyabiashara binafsi
• Makampuni yanayochinja
• NGO’S
• Wafugaji
• Wapishi wa sherehe na matukio mbalimbali
• Makundi ya kidini hasa katika sherehe za kidini

MFANO: KUANZA NA UFUGAJI WA MBUZI 50+

👉Majike 50
👉Madume 2
👉Mbuzi mmoja kwa mwaka huzaa Watoto 1.5
👉Idadi ya vifo: 10%
👉 Idadi ya mbuzi wazazi wanaohitajika kurudishia( replacement): 20 %
👉MBUZI 1 HUZAA WATOTO wastani wa Watoto 10 Karika Maisha yake

UZAO WAO
👉 WATOTO Watakaozaliwa : 75 ( vidume 40 na vjike 35) (by assumption)
👉 Vifo vya vitoto asilimia 10= vitoto 8 ( vidume 4 na vijike 4)
👉Vitoto vitakavyokua: 67 ( vidume 36 na vijiko 31)
👉Vifo vya ukubwani asiIimia 5: mbuzi 3 ( madume 2 na majike 1
👉Tunabaki na mbuzi 64
👉Tunarudishia (replace)asilimia 20 ya mbuzi wazazi, sawa na mbuzi 10= tunabakiwa na mbuzi 54 ( madume 44,majike 10)
👉Tunarudishia dume 1= tubakiwa na mabuzi 53 ( madume 43 na majike 10)

👉Waliobaki = mbuzi 53( madume 43 na majike 10)
👉Dume 1 liliondolewa= 1 mbuzi
Majike 10 yaliondolewa= 10 mbuzi
👉Jumla ya mbuzi:64 ( madume 44 na majike 20) watakaoenda SOKONI KATIKA AWAMU YA KWANZA

MTAJI WA KUANZA: TSh.MILLIONI 14 ( bila kuhesabu gharama ya ardhi). Tumeassume eneo unalo tayari

Eneo: Angalau Ekari 2

KAMA UNATAKA BUSINESS PLAN

👉Kuandikiwa business plan gharama inategemeana na muda,

Miezi 3: Tsh150,000
Miezi 2: Tsh 200,000
Mwezi 1: Tsh 300,000
Wiki 2: Tsh 400,000

Whatsapp: 0621106923
 
Ningependa unielekeze wapi kuna Demo Farm Yenu ili nije niangalie na kujifunza kwa vitendo zaidi. Na kama una picha pia unaweza kuweka kabisa.

Asante.
Nasubiri majibu na mimi vilevile maana usije kuwa motivesheni speaker
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom