Kuna kitu ki1 tunamis tu watz..tunasubiri kupata mitaji...mie nimejipambanua baada ya kusoma sana vitabu..nikagundua ukiulisha ubongo wako kila kitu unachotaka inawezekana kufanya kila kitu unachotaka..
Mie nilipokuja huku nililetwa tu na dingilai..tena ile kwa dharau anakuambia nxt wk naenda geita kuangalia miradi..kama uko interested twende..kwanza mwanzon alisema nijigharamie



..pigana wee (maana zilikua tar butu masuala ya kusubiriaga mishahara ya waume

(sikupata nauli..nikamwambia mama ongea na baba anigharamie nauli tu mie njian sitakula..akasema sawa..
Kweli dingi akakubali..nakumbuka ile safari kutoka moro had kahama nilikua karanga tu


..tena nilichukua kwa dogo nikamwambia kachukue kwa baba hela


..! kahama akanunua robo kuku imagine tuko mtu 3..nikawambia baba haitoshi hii jaman aliniwakiaaa


..nilijiskia unyonge mno..maana napenda nyama balaa...! tulipofika machimbon nikaona hii dunia ni nyingine mbona..nikaanza kuona siwez kbs hata kuish siku 1 machimboni..baba kwa kuninyoosha siku ya 1 tu akasema manengelo utalala huku sasa uone maisha



..imagine gest ni za bati...yaan kila kitu ni cha ajabu kwangu..
nakumbuka baba mdg aliniambia kitu ki1..shukuru Mungu kuja huku..nakuona ww ni smart..ukiwa smart huku utaondoka na mtaji unaotaka ww..first of all yakubali mazingira...ukishayakubal mazingira tu umewin...ilinichukua siku km 14 kucope..kumbuka hapo baba anakuja muda anaotaka yy toka mjini anapolala..anaweza kuja saa6 sijala kitu



!nanuna balaa..naishia kulia shida kwa mama balaa hahaha...
Kifupi mimi ndo nilisema baba mbn km huku fursa zipo,akasema km zipo baki...nikabaki...!nikaanza fatilia mishe za huku..hapo.aliniachia 50000/=..nikapata washkaji kidg...!nikawa nasimamia miradi yake...
baada ya 2mths nikaomba eneo nami nianze mambo yangu..hakuuliza umepata wap hela..nilianza kibabe /kimaskin saaana...
hapo nipo na bros zangu ila ni vyapombe balaa coz wana hela..! hawakuamini pia..
Naamini had naandika hii comments mie ndo naongoza kwa haka kafamily ketu maana huku ukoo wa baba umejaa hapa...! nilichungulia fursa mno sasa hv baba ndo ananisisitiza niwe nakaa na bros nawasaidia wafanye mambo ya msingi...then anaishia kunilaumu pia..why ww huwasaiidii kaka zako..hahaha ... soon kila week nitakuwa na mapato ya kila siku yasiozidi 200k!shenzy typ
Kunafursa niliiona nikawa na hela nusu ya kufanya...sikujiuliza.. nikaanza kwa hyo hyo nusu..ile nusu ilobaki nikamwambia dingi..naomba uikamilishe hii project ambayo siku ikiisha mie ntakuwa napata 100k then kila siku nitakutumia 100k kwa siku 25 akakubali..so akanitumia hela..baada ya masaa24 nikakabidhiwa projrct yangu..!
moral of the stry..usisubiri kuanza na mtaji mkuubwa ..!anza na ulicho nacho! njia huwa nyepesi mno mno!ingawa changamoto bado nazipata pia...nazikabili ingawa saa zingine nataman kulia


!